JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

kina baba kina mama kumbukeni siku hiyo ni chu.pi nyeupe,soxy nyeupe,tanganyika jeki nyeupe,henkachif nyeupe,gauni nyeupe,serewale nyeupe,shati jeupe,hii ni kwa msisitizo tu.
 
Mifataki mshaanza,
Loh............ Hebu Muacheni mdogo wangu aifurahie Bikra yake.......khaaaa...........!!!!!!!!!
Kwani dada yake nimeshindwaaaaaaaaaa...........!!!!!!!!!!!!!
Jikatae Bishanga.

mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio,we vipi Madame B?
 
Last edited by a moderator:
kina baba kina mama kumbukeni siku hiyo ni chu.pi nyeupe,soxy nyeupe,tanganyika jeki nyeupe,henkachif nyeupe,gauni nyeupe,serewale nyeupe,shati jeupe,hii ni kwa msisitizo tu.

Bila kusahau travota nyeupe, skuna nyeupe, sendoz nyeupe, katambuga nyeupe, chachacha nyeupe na kandambili nyeupe ti ti ti ............
 
Kila la heri wakuu,

Kumbukeni kuwa Ma-consultants wako kibao T and Wings....

Karibuni sana......!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…