Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Finally!!!! Mwenzio hapa nilisema sitoki mpaka nisikie kauli yak wifi!!!
Nitawajoin ki ukweli!!!!!!!
Blaki Womani vipi,situtadondokea hiyo mitaa ya nguo nyeupe??
Nimesikia Bishanga kakamatwa na TAKUKURU kwa tuhuma za kutaka kutoa rushwa ya jero kwa karani wa mahakama ya mwanzo wilayani Misenyi.
SUUUUUUUUUUU....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mke Mwenza.
nawe unasubiri kwenda thubutu yako unabaki kulinda nyumba usijekuniharibia pozi Ruttashobolwa
Nyani Ngabu source please!
Isiwe tabu yf watabaki watoto na haus gelo na shambaboy. Hakuna wivu gfsonwin ananingoja!
. . . . . ORAIT darling Blaki Womani. . . .
source ya nini umekuwa hakimu hebu twende tukalale
Nitume advance afu nikose flight weweeeeee!!!!
Me kiingilio ntaja nacho akhu bibi we......
Tangulia. . . si unajua faili la upatanisho la kina Nyani Ngabu na Bishanga ninalo? Hapa nampa krosi ekzamineshen nijiridhishe kuwa ni kweli au la. Vua kabsa!
Punguzeni makelele, mnanishitua usingizini mieeeeeehhh nawe ukija utafanya nini kuja fast kabla sikakupa talaka tokomea
Hahahahahahashahahah
miss you sana!
eeeeehhh nawe ukija utafanya nini kuja fast kabla sikakupa talaka tokomea