Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ni doa kubwa.Mkuu Phillipo, na bila kuwepo mambo ya EPA CCM ingekuwa historia kama KANU au UNIP.
Nadhani hapo tuko pamoja sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni doa kubwa.Mkuu Phillipo, na bila kuwepo mambo ya EPA CCM ingekuwa historia kama KANU au UNIP.
Nadhani hapo tuko pamoja sio?
Ujamaa ni mfumo wa kuwalinda watawala kwa kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe kirahisi.Ujamaa haukuwa kwa ajili ya wananchi bali ubinafsi Wa viongozi,hata viongozi wajamaa awakuishi kijamaa huku wakiwalazimisha wananchi kuwa wajamaa.Nimeona ameshuka kutoka kwenye Mercedes Benz made in Germany baba wa Capitalism.
Usiamini communist hata siku moja, Stalin na Mao waliuwa watu zaidi milioni 100 kueneza communism, Mwalimu Nyerere alikuwa anatibiwa London na siyo Soviet Union au China!
Na mfumo wa kibebari haulindi watawala? Kuna mfumo mbaya kama wa ubebari katika kulinda watawala?Ujamaa ni mfumo wa kuwalinda watawala kwa kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe kirahisi.Ujamaa haukuwa kwa ajili ya wananchi bali ubinafsi Wa viongozi,hata viongozi wajamaa awakuishi kijamaa huku wakiwalazimisha wananchi kuwa wajamaa.
Ubepari uendana na demokrasia ujamaa uendana na udikteta demokrasia uzaa maendeleo ujamaa na udikteta uzaa umasikini madikteta wote dunia maendeleo ya watu si vipaumbele vyaoNa mfumo wa kibebari haulindi watawala? Kuna mfumo mbaya kama wa ubebari katika kulinda watawala?
Nipo safu ya mbele kabisa kujua "what happened"Hawezi kwa sababu ya unafiki tu. wakati wa miaka ile baada ya J K Nyerere kuonyesha kwamba asingegombea tena 1985 Sokoine was unchallenged kutokana na aliyokuwa anafanya. Baada ya kufariki SAS ndiye angechukua, lakini unafahamu what happened.
Umebapari vs Ujamaa: Huu ni mjadala ambao umetawala dunia kwa muda mrefu. Uzoefu wangu unanimbia ujamaa ule ambao siyo extreem (kama waliokuwa nao warusi) ni mzuri kuliko ubebari. Ukitembelea nchi za Scandivia utaelewa zaidi.Ubepari uendana na demokrasia ujamaa uendana na udikteta demokrasia uzaa maendeleo ujamaa na udikteta uzaa umasikini madikteta wote dunia maendeleo ya watu si vipaumbele vyao
Uchumi Wa nchi yaani GDPKma unathubutu kusema Kenya wako vizuri kuliko sisi (nazungumzia wananchi wa kawaida na siyo matajiri) basi Kenya huwa unaisikia kwenye vyombo vya habari tu. Sisi waafrika hatuna utamaduni wa kutembea lakini ungetembelea Kenya basi ungebadilisha mawazo.
mabus hayo yaliitwa daladala kwa sababu UDA ilikuwa inatoza Tshs 1/= , hayo mabus yalipoanza yenyewe yalitoza Tshs 5/= pesa ambayo kwa utani iliitwa dala au gwala( maneno ya soka, yakiashiria no tano)Sawa, leta ukweli wewe kwenye hilo? Kwa nini mabasi hayo yaliitwa daladala? Nipo 110% right.
Mkuu Kenya ina matatizo sana. Sidhani hata ukienda kule kama utafurahia maisha yake. Kwanza matatizo ya ardhi ni makubwa. Sehemu nzuri zote zilishachukuliwa na matajiri.Uchumi Wa nchi yaani GDP
Hawa watu wengine wanasifia tu hata wasiyoyajua. Uchumi wa Kenya umeshikiliwa na watu wachache sana.Mkuu Kenya ina matatizo sana. Sidhani hata ukienda kule kama utafurahia maisha yake. Kwanza matatizo ya ardhi ni makubwa. Sehemu nzuri zote zilishachukuliwa na matajiri. Nyerere hakuruhusu hilo litokee na ndiyo maana mpaka leo watu wa kawaida kbaisa wanaweza kumiliki ardhi. Shukrani anayopewa ni kuitwa alichukia matajiri. Nyerere ahakutaka ule utajiri wa kijanja janja, wa kunyakuwa na siyo kwamba hakupenda matajiri. Tatizo lililotokea ni kwamaba watu alikuwa ana-apply ideology kwao siyo watu sahihi. Wamejaa elements za wizi na uvivu.
Nimeona ameshuka kutoka kwenye Mercedes Benz made in Germany baba wa Capitalism.
Usiamini communist hata siku moja, Stalin na Mao waliuwa watu zaidi milioni 100 kueneza communism, Mwalimu Nyerere alikuwa anatibiwa London na siyo Soviet Union au China!
Cheki wanavyojipendekeza wazee wetu wa sasa, je viongozi wa namna hii wanaweza kutoa ushauri unaopingana na mkuu wao kwa ajili ya kumsaidia nchi isiteketee kijamii, kisiasa, kiuchumi na kisera?
15 Nov 2019
MAJALIWA Atokwa MACHOZI MAGUFULI Alivyomwaga MAMILION