Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Miaka inakwenda kasi sana. Huo ukumbi nadhani ni pale IFM. Naziona kombi zimepaki nje.
Good memories Mwanakijiji.
Good memories Mwanakijiji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ushahidi, thibitisha.Mkuu mimi nilikuwa Dar wakati huo wewe ulikuwa wapi?
Sio sahihi usemacho, ngoja tumalize la Sokoine tukufahamishe chimbuko la daladala ambalo lilianzia Sumni sumni (yaani senti hamsini)BTW msingi wa kuitwa daladala ulikuwa hivi: Shillingi tano za Kitanzania zilikuwa sawa na dola moja ya marekani na pound sterling 1 wakati huo tulikuwa tunabadili kwa shillingi 7 (saba). Hivyo mabasi hayo kuitwa daladala.
Nadhani haukuwa mjini zama hizo.....Joka Kuu yuko sahihi kwa 80%JokaKuu,
Vita ya uhujumu uchumi haikuweza kutekelezwa wacha uongo, sababu kubwa ni pale wahindi wengi walipokwenda kutupa TV sets baharini pamoja na mafridge nk. lile zoezi lilisitishwa ile pekua pekua ya kila nyumba haikufanyika. BTw Sokoine will be credited for so many things, hata bidhaa ambazo zilikuwa hazipatikani Tanzania yeye ndiye aliyesema zianze kuuzwa Tanzania baada ya ziara yake ya mikoa ya Tabora na Kigoma. (Kwa sababu wakati ule hata masufuria tu tulikuwa hatuna)
Nakumbuka sana pale kanisani St Joseph akiwa amekaa katikati ya walinzi wawili benchi la pili kutokea mbele.
Akipenda kuvaa kaunda suit, alikuwa mtu mmoja mpole kwa muonekano wa nje.
Siku anafariki April 11 1984 nimetoka shule Forodhani nikaanza kusikia nyimbo za maombolezo, ilikuwa siku ya huzuni.
Nakumbuka sana pale kanisani St Joseph akiwa amekaa katikati ya walinzi wawili benchi la pili kutokea mbele.
Akipend kuvaa kaunda suit, alikuwa mtu mmoja mpole kwa muonekano wa nje.
Siku anafariki April 11 1984 nimetoka shule forodhani nikaanza kusikia nyimbo za maombolezo, ilikuwa siku ya huzuni.
Outshining the masterHivi nini hasa chanzo cha kifo cha Sokoine?
Wa masai ni kama watusi wana sura zinafanana!!Kwa mbali anafanana na Ole Sendeka
JokaKuu,
Tunaweza kuyajadili yote haya:
1. "kuonea wananchi katika kampeni dhidi ya 'walioitwa wahujumu uchumi"' Sijui hapa umewalenga 'wananchi' au 'walioitwa wahujumu uchumi'. Natambua 'wahujumu uchumi' nao ni wananchi; lakini wanatambulishwa na sifa yao hiyo ya nyongeza.
2. "Mwalimu Nyerere na Sokoine walishindwa kuendesha uchumi wa nchi."
3." Badala yake wakaanza kulaumu na kusingizia kuwa hali mbaya ya uchumi imesababishwa na wahujumu uchumi na walanguzi" Hapa nitapata fursa ya kujifunza kutoka kwako juu ya ushahidi wa hawa wawili kuzitumia sababu hizi kuwa ndio zilizosababisha anguko la uchumi.
4. Itakuwa ni fursa ya nadra pia kupata nafasi ya kujua heshima anayopata Sokoine imejikita zaidi katika "kutambua mchango wake alipokuwa waziri mkuu wakati wa vita vya Kagera." Bila ya vita hivyo "usingewaelewa wanaomkubali Sokoine".
Yote haya manne tunaweza kuyajadili vizuri tu.
Tanzania hatujaweza kupata Waziri Mkuu mchapakazi kama huyu. Sokoine ndiye aliyeanzisha daladala yaani alipita pale Posta (Opps posta ya zamani si hii mpya) na msafara wake akaona watu wengi wanasubiri usafiri akauliza pana nini hapa ? Akaambiwa wananchi wanasubiri UDA kwa usafiri wa kwenda nyumbani. Basi Kesho yake akaagiza mabasi yote ya mashirika ya umma wakati ule yakimaliza kuwaleta/ kuwarudisha wafanyakazi yaendelee kuwachukua wananchi kuwaleta kazini na wenye mabasi binafsi waanze kufanya hivyo kama wanaweza. Ndipo ikazaliwa daladala. Alikuwa anajali Maisha ya wananchi wa Tanzania.
Hata kabla ya kifo chake ndege iliyotakiwa kumrudisha Dar es Salaam kutoka Dodoma ilichelewa basi akasema hakuna shida nitakwenda Dar kwa gari, hapo ndipo alipokutana na mauti kule Morogoro (Dumila).
Watu wengi walikuwa wanasema kwamba JK Nyerere alikuwa anamwandaa kuwa Rais akiondoka kwa sababu hiyo ilikuwa ni mara yake ya pili kuchukua cheo hicho baada ya kujiuzulu, ikumbukwe Mawaziri wengi wanyakuaji walikuwa wanamuhara.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake peponi salama.
Tukiendelea na mijadala mingine nimeonelea niwashikilishe video hii. Nimeulizwa mara kwa mara kuhusu video/ audio ya Edward Sokoine. Katikati upekuzipekuzi wangu nimekutana na hii. (Kuna mtu aliniuliza chemba kuwa angependa kumuona na kumsikia Sokoine) badala ya kusoma tu habari zake. Hii ni miongoni mwa video nzuri nilizopata kuziona au kuzisikia.
Nadhani haukuwa mjini zama hizo.....Joka Kuu yuko sahihi kwa 80%
Toa ushahidi, thibitisha.
Nakumbuka sana pale kanisani St Joseph akiwa amekaa katikati ya walinzi wawili benchi la pili kutokea mbele.
Akipenda kuvaa kaunda suit, alikuwa mtu mmoja mpole kwa muonekano wa nje.
Siku anafariki April 11 1984 nimetoka shule Forodhani nikaanza kusikia nyimbo za maombolezo, ilikuwa siku ya huzuni.
Mkuu, mimi sijawahi kusikia habari ya Ndugu Sokoine "...kushambuliwa na kwenda kutibiwa Europe etc." Hii habari ndio naipata toka kwako kwa mara ya kwanza kabisa. Itapendeza kama utaweza kuielezea zaidi.
Ninachojua ni kwamba alikwenda masomoni, baada ya kujiuzuru.
Na kuhusu 'time frame' kama ushahidi wa daladala ya Tanzania kuwa na thamani ya dollar moja ya Kimarekani, hata ungekwenda hadi 1961, hutapata US $ 1 kuwa sawa na Tsh. 5.00
Hivi nini hasa chanzo cha kifo cha Sokoine?