Naomba unibebe kwenye ile RANGE yako shost au utakuja na MASERATI?Tutaondoka woteee!!!
Washamba hawawezi kukosekanaIla nawaomba wahudhuriaji msije kuja kufungulia nyuzi humu za kudhalilishana.
Baada ya party ndio tutaanza kusikia mengi ya watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Apo sawaaaaaaaa.Kijora cheusi shoo
Fanya mchongo wa usafiri kwa ndugu yako hapaParty inaanza saa 10 jioni, ukikaa mpaka saa 3 unapata gari za Buguruni, then Chanika.
Ila kuondoka saa 3 ni kama party itakuwa haijaanza.
[emoji23] [emoji23]Naomba niwe mpish mkuu ... Mi sina hela ... Ila nshawah mpikia obama ..
Tudiscuss hapa hamna bwana tutadisscuss kule sema dec nina safari ya msumbiji sijajua tarehe ya kuondokaAmkaa tu maamaa....[emoji2] [emoji2] tunapaswa tudiskasii kama vyotew
Hahahaaaa.....Ntakuja na Vogue bibieeee!!!!!Naomba unibebe kwenye ile RANGE yako shost au utakuja na MASERATI?
Mimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari.
Hakuna shida mkuu...Naomba unichangie usafir tafadhari
Ubahali umeanza lini sho[emoji23]Waoooh, naona tunaendana karibia kila kitu.
Maana Mimi mwenyew hapa pombe sinywi na grand malt sinywi maana ni dalili za kuanza kunywa pombe [emoji13][emoji13][emoji13]
Aisee! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya ShunieShem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niache
KhaaaaaMimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari.
Oh sawa mkuuSio kwa JF hii mkuu. Unaweza kuta mpaka hiyo siku watu wako 20
KabisaaWashamba hawawezi kukosekana
Huyo najuana naeKwahiyo wanaume kirahisi kuvaa kwenu kilikua nini? Suti au suruali za vitambaa?
[emoji465][emoji959]Kwahiyo wanaume kirahisi kuvaa kwenu kilikua nini? Suti au suruali za vitambaa?
Hahahahahaa. Umetoa wazo zuri. Nadhani wale tutakaoshiriki siku hiyo tutakubaliana kabisa tunakunywaje. Maana huwezi muweka Shunie anywe sawa na Mimi atanipunjaBTW, waandaaji ningeshauri mtoe angalizo kuhusu kupon za vinywaji.
i.e kwenye hiyo 30,000/- nakunywa vinywaji approx bia ngapi kwa rate ipi?
Ili wengine tujue kama tuanze kunywa nje tuje kumalizia au tuje na balance sh ngapi kujazia patakapopungua.
[emoji15] usianze hapaa...!!usijali dear tutadiskas kila kitu!!!Tudiscuss hapa hamna bwana tutadisscuss kule sema dec nina safari ya msumbiji sijajua tarehe ya kuondoka
Nitawasaidia kupambana na negativity.Sawa mkuu.
Hope utasaidia kuifanikisha kwa namna yoyote ile, hata mawazo kwa waandaaji.
Mkuu ... Daah ... Bora wanweke mpish.... Dah .... Yaan ... Ila unajua naweza kuwagharamia wote ... Sema nawaogopa wachaw[emoji23] [emoji23]