JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

BTW, waandaaji ningeshauri mtoe angalizo kuhusu kupon za vinywaji.

i.e kwenye hiyo 30,000/- nakunywa vinywaji approx bia ngapi kwa rate ipi?

Ili wengine tujue kama tuanze kunywa nje tuje kumalizia au tuje na balance sh ngapi kujazia patakapopungua.
Hahahahahaa. Umetoa wazo zuri. Nadhani wale tutakaoshiriki siku hiyo tutakubaliana kabisa tunakunywaje. Maana huwezi muweka Shunie anywe sawa na Mimi atanipunja
 
Back
Top Bottom