JF-get together party Disemba 2018

Umeona eeeh
 
Hahahahahaa. Umetoa wazo zuri. Nadhani wale tutakaoshiriki siku hiyo tutakubaliana kabisa tunakunywaje. Maana huwezi muweka Shunie anywe sawa na Mimi atanipunja

Muhimu ni kujua bei za vinywaji, chakula siyo shida najua kuna buffet na zinakuwa calculated kwa sahani.

Then kila mtu anapewa kuponi za kiasi kama 12,000/- au 18,000/- kutegemea na mahisabati, ukimaliza kuponi zako inabidi utoe mfukoni au uwe supported na mwenye coupon ambaye hajazimaliza.

Hii inaleta usawa, na ni kitu cha kujadili mapema.

Wet 'n Wild huwa wana utaratibu kama huo, tunaweza kupata jinsi ya kuuelewa huo utaratibu, ni very fair.
 
Bwana shushushu suggestion kwenye hilo tafadhali.
 
Sasa Mzigua hiyo part Ratiba yake inakuwaje .?
au tukifika tunaanza kule monde mpaka kukuche .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…