General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ooh!!Potelea kushoto na hao waliokufata Pm.
Hapa hatuko harusini wala katika kitchen party wala sendoff kaka.
Utakuwa umeingilia mlango wa kutokea.
Msijitie kimbelembele kwenye nyuzi za zisizowahusu.
Kumbe uenyekiti...nilijua umepewa pesa.
Kojoa ukalale...huna jipya.
Hehehee ndiyo umeacha kunichochea mapema hiviiMchumba unaitwa huku Don Clericuzio
Hahahaha. KahawaHuyu mtoto nashangaa hajalala mpaka saa hii, sijui kanywa nini.
Tukeshe tu.Ooh!!
Ngoja tukeshe wote sasa,
Kwani kwenye hiyo party kuna nini kipya??
Unachekesha sana,
Wewe kwani hii party unalipwaa??
Mtu unaachiwa budget mbovu lkn unaitengeneza sherehe mpaka watu wanakubali.
Hivi unafikiri kukabidhiwa uenyekiti wa sherehe ya watu 800 ni mchezo??
Sasa we party ya watu 50 ndo unataka unichoshe hapa??
We dada kweli washakuaribu.
Huu ni mwanzo tu mpaka uniachie mchumba anguHehehee ndiyo umeacha kunichochea mapema hivii
Hahahaha huyo sikuachii. Acha tubanane tuu.Huu ni mwanzo tu mpaka uniachie mchumba angu
Naomba uniambie kuna nini kipya kwenye party hii??Tukeshe tu.
Mie mkeshaji mzuri sana.
Ndo nishakwambia hapa hatuko harusini kaka.
We mbona mgumu kuelewa jamani?
Unataka upewe kamati?
Haya Mzigua90 mpe fagio akadeki choo siku ya Party
Wanakuona wewe boya na mbovu ndio maana wanakuachia budget mbovu kama ulivyo wewe ili uipange.Ooh!!
Ngoja tukeshe wote sasa,
Kwani kwenye hiyo party kuna nini kipya??
Unachekesha sana,
Wewe kwani hii party unalipwaa??
Mtu unaachiwa budget mbovu lkn unaitengeneza sherehe mpaka watu wanakubali.
Hivi unafikiri kukabidhiwa uenyekiti wa sherehe ya watu 800 ni mchezo??
Sasa we party ya watu 50 ndo unataka unichoshe hapa??
We dada kweli washakuaribu.
Kumbe unaona kama unapoteza nguvu zako tu hapa.Naomba uniambie kuna nini kipya kwenye party hii??
Mi sio harusi tu, event za makampuni mbalimbali nilikua nasimamia. Kuanzia NMB, TBL, za serikali ndo usiseme mana tulikuwa mzabuni huko.
Sasa dada angu unaniambia party ya watu 50? Budget ya 1.5M??
Napoteza nguvu bure tu hapa.
Naona unataka kunipakazia niachweHahahaha huyo sikuachii. Acha tubanane tuu.
Mchumba wako ni yule mwingine yuleeee
Tunajua hauna 30000 ya kutoa kwa ajili ya party. Utasubiria fungulia mbwa kama itakuwepo usijali.Naomba uniambie kuna nini kipya kwenye party hii??
Mi sio harusi tu, event za makampuni mbalimbali nilikua nasimamia. Kuanzia NMB, TBL, za serikali ndo usiseme mana tulikuwa mzabuni huko.
Sasa dada angu unaniambia party ya watu 50? Budget ya 1.5M??
Napoteza nguvu bure tu hapa.
Ndo mana nasema we bado sana mama!!Wanakuona wewe boya na mbovu ndio maana wanakuachia budget mbovu kama ulivyo wewe ili uipange.
Hahahahha.....nafwaaaa mieeee!!!!
Afu mwanaume mzima umesimamisha uume wako hapa jukwaani unabishana na mtoto wa kike?
Unataka nikununulie dera au nikununulie pedi?
Sawa dada,Tunajua hauna 30000 ya kutoa kwa ajili ya party. Utasubiria fungulia mbwa kama itakuwepo usijali.
Haujajua tuu unabishana na mtu aliyelalia ubao. Stress za njaaWanakuona wewe boya na mbovu ndio maana wanakuachia budget mbovu kama ulivyo wewe ili uipange.
Hahahahha.....nafwaaaa mieeee!!!!
Afu mwanaume mzima umesimamisha uume wako hapa jukwaani unabishana na mtoto wa kike?
Unataka nikununulie dera au nikununulie pedi?
I mean utaikuta kwangu[emoji13]Wewe unayo yangu imepoteaa[emoji2]
Sawa sawa naweza nikahama timu hiyo sikuKasikia, halafu siku hiyo tutaangalia game ya Liverpool kwanza ndo nikupeleke kwa 4G LTE.
Uone udambwi udambwi wa Fabinho, Keita, Salah, Mane na Firmino.