General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Nina yakufanya kesho mama.Wapi nimeandika nakupenda?
Mie na wewe nani asiyejua kusoma?
Nikupende wewe mwenye sura nzito na kavu kama uvungu wa pummbu?
Mie mzima.
Ila sidhani kama wewe una uzima maana kubishana na mtoto wa kike tena kwa kuchambana basi kuna walakini.
Kama sio mwenzetu...basi mwenza wa mtu.
Hahahhahhajajajaj.......
Vumilia tu brooo.....ndo tulivyo sisi.
Wala hayajanishinda.
Kama vipi tunaweza kwenda mpaka round 50 bro.
Mchawi chaji na bando
Shukrani !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamjalala tuuHivi unajua kusoma kweli?
Wapi nimeandika unanipenda?
Kwanini usihangaike na watakao kuja kwenye party??
Unajua ungetumia jukwaa hili kuhangaika nao hao watu. Sasa unapoteza muda na mtu asiyekuja?
Tena mtu huyo kakuomba mzozo uishe kwa faida ya wengine lkn bado una nga'ng'ana nae??
Ww dada mzima kweli??
Au yashakushindaa????
We c umesema kurara reo ni marufuku mura [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamjalala tuu
Haahaaa...hakuna kuraarwaaWe c umesema kurara reo ni marufuku mura [emoji3]
[emoji28] hata mi naonaHaahaaa...hakuna kuraarwaa
Nina vikao vya dharura humu bro !Njooni huku tupige story basi, mbona pamezubaa hivi na bado mpo online
General Mangi
Witnessj
Madame B
Zurri
Chiquita
.............
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] haya poa mkuu,....Nina vikao vya dharura humu bro !
Couple yangu siku hiyo
Wit,
I was a marketing manager at Golden memory, Mwika social hall na hata Best Choice ya tabata.