JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Wapi nimeandika nakupenda?
Mie na wewe nani asiyejua kusoma?
Nikupende wewe mwenye sura nzito na kavu kama uvungu wa pummbu?

Mie mzima.
Ila sidhani kama wewe una uzima maana kubishana na mtoto wa kike tena kwa kuchambana basi kuna walakini.
Kama sio mwenzetu...basi mwenza wa mtu.

Hahahhahhajajajaj.......
Vumilia tu brooo.....ndo tulivyo sisi.
Wala hayajanishinda.

Kama vipi tunaweza kwenda mpaka round 50 bro.
Mchawi chaji na bando
Nina yakufanya kesho mama.
Bye.
 
Hivi unajua kusoma kweli?
Wapi nimeandika unanipenda?

Kwanini usihangaike na watakao kuja kwenye party??

Unajua ungetumia jukwaa hili kuhangaika nao hao watu. Sasa unapoteza muda na mtu asiyekuja?

Tena mtu huyo kakuomba mzozo uishe kwa faida ya wengine lkn bado una nga'ng'ana nae??

Ww dada mzima kweli??

Au yashakushindaa????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamjalala tuu
 
Aisee!

Tayari naona watu mshaanza vita kabla hata party kufanyika!

Taratibu wajameni. Walau msubiri siku ya siku ifike...

Ila mniombee na mimi siku hiyo nisiue mtu maana naona kinuka mkojo mmoja keshatoa mchango.

I can't wait to re-arrange her ugly face....bout that life for real.
 
Back
Top Bottom