General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Nina yakufanya kesho mama.Wapi nimeandika nakupenda?
Mie na wewe nani asiyejua kusoma?
Nikupende wewe mwenye sura nzito na kavu kama uvungu wa pummbu?
Mie mzima.
Ila sidhani kama wewe una uzima maana kubishana na mtoto wa kike tena kwa kuchambana basi kuna walakini.
Kama sio mwenzetu...basi mwenza wa mtu.
Hahahhahhajajajaj.......
Vumilia tu brooo.....ndo tulivyo sisi.
Wala hayajanishinda.
Kama vipi tunaweza kwenda mpaka round 50 bro.
Mchawi chaji na bando
Bye.