Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Thanx mkuuHaina noma bro ! Hilo limeisha.
Ngoja tukifanya photoshoot mkuuUngeweka picha yako na ya Mzigua90 mkiwa katika hayo mavazi pendekezwa
Kwani utafunga majilio mkuu?Natamami sana kuhudhuria party hiyo ila kikwazo nitakuwa kwenye kipindi cha MAAJILIO.
Watoto tutajitahidi tuwafundishe ustaarabu wa watu wazima.Idadi mmekadiria kidogo mbona??
Mi sitaweza nadhani lakini kila la heri mpaka December muwe wazima wa afya
Kuna hatari ya watoto kuzingua siku hiyo manake humu wengi ustaarabu hawaujui
Yes mkuu
Majilio ndio nini ? Yaani maana yake nini ?Kwani utafunga majilio mkuu?
Simu unayo hapo, jeans na shati/tshirt nyeupe unazo kabatini hapo hebu piga picha tuioneNgoja tukifanya photoshoot mkuu
Hahaaaa! We mtanzania maelezo yako tu yanaonesha unaishi Dar wilaya ya KinondoniAsa aliyekwambia sie Watanzania ni nani?
Teh teh teh tehSehem zote ulizotaja bado za kishamba,
Endelea tu na party yako mama,
Asante kwa mwaliko.
Utakuja na uber au kale ka carina ka mamako?Naamini siku hiyo tutatokelezea kinoma.
Halafu tukitoka hapo tunaenda zetu Ramada kupiga tatu bomba usiku kucha!
Haa haa haaa asee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuja na uber au kale ka carina ka mamako?
Mimi nimevaa gauni hapo
Ewaaa Mopao Mokonzi[emoji146]Watoto tutajitahidi tuwafundishe ustaarabu wa watu wazima.
Hehehehe mbona wacheka witness..Haa haa haaa asee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nshaona mamaNdio....si unajua mie na magauni mbalimbali.
Afu pale kwa Wall tayari