JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Ungeweka picha yako na ya Mzigua90 mkiwa katika hayo mavazi pendekezwa
20180915_121117.jpg
20180915_121102.jpg
 
Haa haa haaa asee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hehehehe mbona wacheka witness..

Unakicheka kicarina namba A pamoja na kupiga box miaka nenda rudi..

Unajua baraka huwa zinatoka kwa wazazi, sasa unashindwa hata kumfungia flat screen mama yako mzazi unaacha sebule sofa zimechanika chanika na TV ya mwaka 47
 
Back
Top Bottom