JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Umealika akina nani sasa??
Mbona muandaji wa party mwenyewe mshamba hivyoo??

Aisee,
Huna sifa ya kuandaa party, huna hata kidogo.
Una hasira, unajiona, unajikwezaa.

Kwa hapo tu naona hiyo party itakua ya kishamba kama wewe.

Ukishaweka mada humu JF sio yako, ni ya wana jukwaa.

Umealika memba wote waliojisajili wachangiee.

Mshamba sana wewe dada.
Basi kaka yaishe.
 
Wit,
I was a marketing manager at Golden memory, Mwika social hall na hata Best Choice ya tabata.

Hakuna ishu ngumu kama kuandaa party, nimeanza kuandaa party, tour kuanzia sekondari hadi chuoni. Wanaoijua ID hii wakisoma hapa watathubitisha.

Unapo andaa ishu kwanza lazima usikilize, ukubali kutukanwa, kupingwaa nk

Kuna watu kwenye ishu km hizi huwa hawana uwezo wa kuja, na mara nyingi hukatisha wengine tamaa ilimradi ishu ifeli

As a leader unapaswa kuwajua hao watu na jinsi ya kuendana nao.

Kwa uzoefu wangu muandaji hana sifa ya kusimamia hata birthday.
Hahahah
Nimejua kwanini unatoa povu.
Ulitaka tuje Mwika.....hahahhaha
Sasa kwa taarifa yako, party zote humu Jf nimeandaa mimi.
Kuanzia ya 1 mpaka ya 3.
Hakuna kilichoharibika wala kupotea.

Tafuta lingine aisee.
Ila sasa, paka, zomea, tukana, laumu hadi ukitaka kunnya hapa jukwaani kunnya tu.
Ila ndio hivo.

Ukija kijeuri nami nakujibu kijeuri.
Ukija kichoko nami nakujibu kichoko.
 
Wit,
I was a marketing manager at Golden memory, Mwika social hall na hata Best Choice ya tabata.

Hakuna ishu ngumu kama kuandaa party, nimeanza kuandaa party, tour kuanzia sekondari hadi chuoni. Wanaoijua ID hii wakisoma hapa watathubitisha.

Unapo andaa ishu kwanza lazima usikilize, ukubali kutukanwa, kupingwaa nk

Kuna watu kwenye ishu km hizi huwa hawana uwezo wa kuja, na mara nyingi hukatisha wengine tamaa ilimradi ishu ifeli

As a leader unapaswa kuwajua hao watu na jinsi ya kuendana nao.

Kwa uzoefu wangu muandaji hana sifa ya kusimamia hata birthday.
Basi mkuu yameisha!...sio ishu kuubwa ya kutoana mood...cheer up[emoji481] [emoji481]
 
Back
Top Bottom