JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

hahaha wawindaji haramu utawajua tu...., kagasheki niko hapa hakatizi mtu na na kimwana, hao vimwana ni mali asili ya JF na wako kwenye eneo tengefu
Mkuu nasubiri maoni yako kuhusu ukumbi ................
 
Mzee Mtambuzi, count me in... Ujue siku ile nilikuwa under supervision ya boss kubwa! Sasa safari hii lazima niombe kabisa ruksa mapema.

Ndo hapa naanza kutuma application ili nisipate sababu ya kuzuiliwa kuja iasee!! Ntakuwepo mpaka majogooooo!!!!!!!!!!!!!
Mkikubaliana issue ya michango, mtanijuza nifanye booking mapema fasitijet..........
 
Last edited by a moderator:


Nasi tumeanza maandalizi ya vikundi vya burudani kukupokea uwanja wa ndege.....
 

Naunga mkono hoja nitakuwepo kama Mungu atatuvusha salama
 

Mtambuzi me na chagua ukumbi kwa kuangalia urahisi wa usafiri kwa watu wote na miuondombinu yote.

Me naona ni bora 1.brajec(survey)mlimani city.

Kwa ascape 1 mikocheni na brajec mikocheni na papinga maana watu wanaweza pata usumbufu kidogo wa usafiri hasa kuanzia saa nne.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi sitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa maoni kutokana kwamba nilipitia na kusalimia kwa muda mfupi na kisha nikaondoka kwakuwa nilikuwa na majukumu mengine. Kwa mkutadha huu naomba waliokuwepo mwanzo mwisho watusaidie maoni yao tafadhali.
 

Wasiokamata kileo umewasahau mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…