JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

hahaha wawindaji haramu utawajua tu...., kagasheki niko hapa hakatizi mtu na na kimwana, hao vimwana ni mali asili ya JF na wako kwenye eneo tengefu
Mkuu nasubiri maoni yako kuhusu ukumbi ................
 
Mzee Mtambuzi, count me in... Ujue siku ile nilikuwa under supervision ya boss kubwa! Sasa safari hii lazima niombe kabisa ruksa mapema.

Ndo hapa naanza kutuma application ili nisipate sababu ya kuzuiliwa kuja iasee!! Ntakuwepo mpaka majogooooo!!!!!!!!!!!!!
Mkikubaliana issue ya michango, mtanijuza nifanye booking mapema fasitijet..........
 
Last edited by a moderator:

Nasi tumeanza maandalizi ya vikundi vya burudani kukupokea uwanja wa ndege.....
 
secret-meeting-women-men-party-sex-delaine.jpg

Haya tena wadau wa JF.
Ndio tunaumaliza mwaka 2013 na tunaukaribisha mwaka 2014.
Kama mnakumbuka January 2013 tulifanya White Party pale Kebby’s Hotel Mwenge ambapo ilifana sana.
Kwa mara nyingine tena tunaandaa Party nyingine ambayo itafanyika tarehe 25 January 2014 katika ukumbi utakaotangazwa kadiri muda unavyojongea kwa sababu bado tunao muda wa kutosha.

Kamati ya maandalizi inaundwa na wana JF wafuatao:
1. Paloma
2. Mtambuzi
3. gfsonwin
4. Madame B
5. Vin Diesel
6. jouneGwalu
7. Jiwe Linaloishi
8. cacico
9. lara 1
10 ladyfurahia
11. Kipaji Halisi

Siyo lazima kamati hii ikutane bali wajumbe wa kamati hii watakuwa wakiwasiliana kwa simu au kwa PM au hata kwa kuweka mapendekezo yao katika huu uzi kw aajili ya kufanikisha hafla hii muhimu kwetu.

Hapa chini nitaweka mchanganua wa bajeti inayohitajika ili kufanikisha hafla hii:

Cocktail Menu kwa makadirio ya watu 40 watakaohudhuria

Mahitaji
Idadi
Gharama
Jumla
Ukumbi100
BitesKwa watu 40@15,000/=600,000/=
VinywajiKwa watu 40Beer 4 @3,000/=480,000/=
Mziki1@150,000/=150,000/=
Corkage kwa vinywaji vikaliChupa 5@15,000/=75,000/=
Jumla1,305,000/=

[TD="colspan: 2"][/TD]

Kwa hiyo kwa makadirio ya bajeti hiyo kila mdau anatakiwa kuchanga kiasi cha shilingi 35,000/=

Au

Dinner Menu kwa makadirio ya watu 40 watakaohudhuria

Mahitaji
Idadi
Gharama
Jumla
Ukumbi100
DinnerKwa watu 40@20,000/=
800,000/=
VinywajiKwa watu 40Beer 4 @3,000/=480,000/=
Mziki1@150,000/=150,000/=
Corkage kwa vinywaji vikaliChupa 5@15,000/=75,000/=
Jumla1,505,000/=

[TD="colspan: 2"][/TD]

Kwa hiyo kwa makadirio ya bajeti hiyo kila mdau anatakiwa kuchanga kiasi cha shilingi 40,000/=

*Mimi Mzee Mtambuzi nitajitolea chupa tano za vinywaji vikali ambvyo ndivyo vitakachochajiwa Corkage ili viingizwe ukumbini. Hapa nazungumzia vinywaji kama Contesa, Strawberry Lips, Govinder Kumar, Vodka, Jack Daniel, n.k.

Bajeti hii nimeikadiria kwa kuangalia gharama za hoteli zinazofanana na Hoteli ya Kebby’s mahali tulipofanya White Party January 2013, kwa hiyo zinaweza kupungua au kupanda kulingana na idadi ya wadau watakaohudhuria au hoteli tutakayoichagua.

Naomba wanakamati washiriki kikamilifu kutoa maoni yao kwa sababu wao ndio wahusika wakuu wa hafla hii. Baadaye nitaweka uzi kueleza yale yaliyoafikiwa na wadau mbalimbali.

Naomba sasa niwakaribishe wadau mbalimbali watoe maoni yao ili twende sawa.

Karibuni sana

spa-party-massage.gif

Naunga mkono hoja nitakuwepo kama Mungu atatuvusha salama
 
haya wakuu naomba maoni yenu kuhusu ukumbi, kwa upande wangu nafikiria kuhusu kumbi hizi:

1. San siro - sinza

2. Brajec -mikocheni au mlimani city savei

3. Kebby's hotel - bamaga mwenge

naomba mapendekezo ili tuendelee na kupanga bajeti niwaletee mchanganuo hapa kisha tuanze kukusanya michango fasta fasta

Mtambuzi me na chagua ukumbi kwa kuangalia urahisi wa usafiri kwa watu wote na miuondombinu yote.

Me naona ni bora 1.brajec(survey)mlimani city.

Kwa ascape 1 mikocheni na brajec mikocheni na papinga maana watu wanaweza pata usumbufu kidogo wa usafiri hasa kuanzia saa nne.
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuwataja wafuatao ambao walihudhuria waje kutoa maoni yao kuhusu mapungufu ili tujipange vyema: KakaKiiza, gfsonwin, Madame B, Paloma, cacico, Asprin, Rutashobolwa, amu, Marejsho, charminglady, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, @figganigga, Amavubi, manoa, Jeska, Zion Daughter, Mulama, viviana, watu8, Tonykp, Remmy, Mamndenyi, lara 1, Kipaji Halisi, Boflo, Lusile, akenajo, Zinduna, Bujibuji, mwaJ, Bishanga, Thando, Elizabeth Dominic
Mkuu mimi sitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa maoni kutokana kwamba nilipitia na kusalimia kwa muda mfupi na kisha nikaondoka kwakuwa nilikuwa na majukumu mengine. Kwa mkutadha huu naomba waliokuwepo mwanzo mwisho watusaidie maoni yao tafadhali.
 
secret-meeting-women-men-party-sex-delaine.jpg

Haya tena wadau wa JF.
Ndio tunaumaliza mwaka 2013 na tunaukaribisha mwaka 2014.
Kama mnakumbuka January 2013 tulifanya White Party pale Kebby’s Hotel Mwenge ambapo ilifana sana.
Kwa mara nyingine tena tunaandaa Party nyingine ambayo itafanyika tarehe 25 January 2014 katika ukumbi utakaotangazwa kadiri muda unavyojongea kwa sababu bado tunao muda wa kutosha.

Kamati ya maandalizi inaundwa na wana JF wafuatao:
1. Paloma
2. Mtambuzi
3. gfsonwin
4. Madame B
5. Vin Diesel
6. jouneGwalu
7. Jiwe Linaloishi
8. cacico
9. lara 1
10 ladyfurahia
11. Kipaji Halisi

Siyo lazima kamati hii ikutane bali wajumbe wa kamati hii watakuwa wakiwasiliana kwa simu au kwa PM au hata kwa kuweka mapendekezo yao katika huu uzi kw aajili ya kufanikisha hafla hii muhimu kwetu.

Hapa chini nitaweka mchanganua wa bajeti inayohitajika ili kufanikisha hafla hii:

Cocktail Menu kwa makadirio ya watu 40 watakaohudhuria

Mahitaji
Idadi
Gharama
Jumla
Ukumbi100
BitesKwa watu 40@15,000/=600,000/=
VinywajiKwa watu 40Beer 4 @3,000/=480,000/=
Mziki1@150,000/=150,000/=
Corkage kwa vinywaji vikaliChupa 5@15,000/=75,000/=
Jumla1,305,000/=

[TD="colspan: 2"][/TD]

Kwa hiyo kwa makadirio ya bajeti hiyo kila mdau anatakiwa kuchanga kiasi cha shilingi 35,000/=

Au

Dinner Menu kwa makadirio ya watu 40 watakaohudhuria

Mahitaji
Idadi
Gharama
Jumla
Ukumbi100
DinnerKwa watu 40@20,000/=800,000/=
VinywajiKwa watu 40Beer 4 @3,000/=480,000/=
Mziki1@150,000/=150,000/=
Corkage kwa vinywaji vikaliChupa 5@15,000/=75,000/=
Jumla1,505,000/=

[TD="colspan: 2"][/TD]

Kwa hiyo kwa makadirio ya bajeti hiyo kila mdau anatakiwa kuchanga kiasi cha shilingi 40,000/=

*Mimi Mzee Mtambuzi nitajitolea chupa tano za vinywaji vikali ambvyo ndivyo vitakachochajiwa Corkage ili viingizwe ukumbini. Hapa nazungumzia vinywaji kama Contesa, Strawberry Lips, Govinder Kumar, Vodka, Jack Daniel, n.k.

Bajeti hii nimeikadiria kwa kuangalia gharama za hoteli zinazofanana na Hoteli ya Kebby’s mahali tulipofanya White Party January 2013, kwa hiyo zinaweza kupungua au kupanda kulingana na idadi ya wadau watakaohudhuria au hoteli tutakayoichagua.

Naomba wanakamati washiriki kikamilifu kutoa maoni yao kwa sababu wao ndio wahusika wakuu wa hafla hii. Baadaye nitaweka uzi kueleza yale yaliyoafikiwa na wadau mbalimbali.

Naomba sasa niwakaribishe wadau mbalimbali watoe maoni yao ili twende sawa.

Karibuni sana

spa-party-massage.gif

Wasiokamata kileo umewasahau mkuu!
 
Back
Top Bottom