Haya kijana yalishapita.Kiukweli hujawahi kuniudhi wala kunitukana mkuu!!!!
Napenda kuomba msamaha tafadhali unisamehe kwa yote niliyokuudhi wakati huo na hata sasa hivi. Mkuu nadhani utoto pia unachangia maana ujana una mambo mengi mno
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Bien samaritano, Gracias hermanoHaya kijana yalishapita.
Habari za jioni?
Umecheka nn sasa naww mashavu
Eti..Umecheka nn sasa naww mashavu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nipo Pacha
Nimesoma nyuzi zako nyingi mnoooo.. hueleweki ni jinsia ipiNaitwa Sexless. Umewahi kusoma Uzi wangu wowote ktk jukwaa lolote?
Inabidi wakuweke wewe kwenye hard talk,maana huwa unajua kucheza na akili za watu!Naitwa Sexless. Umewahi kusoma Uzi wangu wowote ktk jukwaa lolote?
Nataka nawe uwekwe
Shukurani mkuu, mm pia ni fan wako mkubwa sanaNimesoma nyuzi zako nyingi mnoooo
Mkuu, mm sina uwezo wa kujieleza kama akina Da VinciInabidi wakuweke wewe kwenye hard talk
Mkuu kupitia thread zako,unaonekana upo vizuri!Mkuu, mm sina uwezo wa kujieleza kama akina Da Vinci
Mimi sitakiNataka nawe uwekwe
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ahsante pia mkuu! Ila ifike hatua uwe na msimamo tujue jinsia yako mojaShukurani mkuu, mm pia ni fan wako mkubwa sana
Mkuu mm sijui kujieleza kabisa.Mkuu, mm sina uwezo wa kujieleza kama akina Da Vinci