JF Hard Talk "Da'Vinc"

JF Hard Talk "Da'Vinc"

Kiukweli hujawahi kuniudhi wala kunitukana mkuu!!!!
Napenda kuomba msamaha tafadhali unisamehe kwa yote niliyokuudhi wakati huo na hata sasa hivi. Mkuu nadhani utoto pia unachangia maana ujana una mambo mengi mno

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Haya kijana yalishapita.
 
Naitwa Sexless. Umewahi kusoma Uzi wangu wowote ktk jukwaa lolote?
Inabidi wakuweke wewe kwenye hard talk,maana huwa unajua kucheza na akili za watu!

Jinsia yako haileweki,ila nina uhakika wewe ni wa kiume!
 
Mkuu, mm sina uwezo wa kujieleza kama akina Da Vinci
Mkuu mm sijui kujieleza kabisa.
Mungu kaninyima maneno mdomoni. Ila kanijalia uwezo wa kujieleza kwa kuandika.. so mm sijui kujieleza kabisa

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom