RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Haya kijana yalishapita.Kiukweli hujawahi kuniudhi wala kunitukana mkuu!!!!
Napenda kuomba msamaha tafadhali unisamehe kwa yote niliyokuudhi wakati huo na hata sasa hivi. Mkuu nadhani utoto pia unachangia maana ujana una mambo mengi mno
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk