Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Kuzuri sana kule wattpad, kuna story inaitwa UNO man ikigeuzwa movie or series itakuwa tamu sana.Ngoja nifanye hima yakuelekea play store hiyo aap nadhani itakuwa ni rafiki na kwangu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipakua mkuu", ni hatari ... ukisikia elimu kiganjani mwako ndio ile sasaKuzuri sana kule wattpad, kuna story inaitwa UNO man ikigeuzwa movie or series itakuwa tamu sana.
hebu subiri nikasome ushauri wa baba nitarudi😎Nimeipakua mkuu", ni hatari ... ukisikia elimu kiganjani mwako ndio ile sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
1. New age movement nmesahau author kidogo ila kilikuwa cha miaka ya 90 nilisoma nikiwa mdogo aisee kilinifungua sana kichwa kuhusu jinsi dunia inavyoendeshwa kuanzia sekta ya kibenki,siasa,makundi ya siri kama freemasonry,dini mbalimbali,vita n.k hivyo ukikisoma hicho utaiona dunia katika muktadha mwingine kabisa.Mkuu zitto kwanza habari yako? swali langu ni kuwa ni kitabu gani mbali na biblia kilikufungua sana uelewa ungependa na wengine wakisome? Movie pia, ni movie gani ungependa na wengine waione?
chronicles of narnia, snow white, alice and the wonderland, wizard of Oz unahisi zinaongelea kingine kipi zaidi ya kuwapa sympathy watoto wanaonyanyaswa majumbani kwao!?Kuhusu movie niliipendaga sana chronicles of Narnia (1st edition sio hii ya sasa) nilisoma novel zote 8 za C.S lewis na movie zake 8 nilizipenda.... Ukifuatilia muundo wa movie hii ni kama jamaa alikuwa inspired na Bible hivyo kuanzia series ya kwanza kama ww ni mtu wa kuconnect dots basi unaweza ona ina huo mtiririko ni movie ya fantasy nyingi na ilinifanya nifikirie vitu vingi sana enzi hizo niko darasa la 4 hivyo naikubali sana mpka leo.
Shukrani mkuu. Mi kwa kawaida huwa sipendi vitabu vya 7 ways to...., 48 laws of ...., 10 habits of .......Ila kwa ulivyokizungumzia hiki kitabu hapa umenifanya nifikirie kukisoma. Hiyo movie itabidi niicheki. Gracias.1. New age movement nmesahau author kidogo ila kilikuwa cha miaka ya 90 nilisoma nikiwa mdogo aisee kilinifungua sana kichwa kuhusu jinsi dunia inavyoendeshwa kuanzia sekta ya kibenki,siasa,makundi ya siri kama freemasonry,dini mbalimbali,vita n.k hivyo ukikisoma hicho utaiona dunia katika muktadha mwingine kabisa.
2. Pia all time best ni 48 laws of power kilinifungua mengi sana hasa mbinu za wanasiasa kutulaghai kwa ufupi ukisoma kile kitabu chote hakuna mwanasiasa anaweza cheza na akili yako zaidi ww ndio utawacontrol sana watu.... Nakumbuka nilikuwa naogopa sana wanawake maana niliingia shule mdogo sana ila baada ya kusoma hiki kitabu sikuwahi tongoza mwanamke ila nilitumia "maigizo" kuwapata na tokea hapo nikiri tu hakuna kitabu practical kilichobadilisha maisha yangu kama hiki.
Movies
Kuhusu movie niliipendaga sana chronicles of Narnia (1st edition sio hii ya sasa) nilisoma novel zote 8 za C.S lewis na movie zake 8 nilizipenda.... Ukifuatilia muundo wa movie hii ni kama jamaa alikuwa inspired na Bible hivyo kuanzia series ya kwanza kama ww ni mtu wa kuconnect dots basi unaweza ona ina huo mtiririko ni movie ya fantasy nyingi na ilinifanya nifikirie vitu vingi sana enzi hizo niko darasa la 4 hivyo naikubali sana mpka leo.
Movie nyingine ni vintage point nafkiri ilitoka 2015 hivi.... Hii movie bhana inaonyesha watu wanavyowekeza akili zao kusolve mauaji yaani Rais anakuwa assasinated sasa camera zilichukuliwa kwa angle tofauti kwahiyo movie inarudia angle ya kila camera kwenye lile tukio hasa kwa washukiwa ili kumtambua muuaji alikuwa nani.... Yaani movie nzima ina Scene moja ila si mchezo mpaka inaisha unaitamani.... Kiukweli movie inasaidia kukufikirisha sana na kukufanya akili yako iwe ''sharp'' sio mtu unaibiwa simu chumbani hata huwezi connect dots nani kakuibia bhana!!
Hizo ni baadhi tu ingawa ziko nyingi sana
1. Niliwahi soma huko primary school nikiwa mdogo sana miaka ya 90 thus nina marafiki wengi sana wa kinyarwanda na hata university nilisoma na watutsi wengi sana actually marafiki zangu wasio watanzania 90% ni watutsi... hivyo ndio maana ninapenda sana kuchangua thread za kuhusu Rwanda.Una interest gana na Rwanda?!??
Je, unajua Mr Slim anakutafuta?!??!?
Je hauni hatari ya kuuawa kwa kuji expose?!?!
Ntarudii
Mkuu hizo zingine ni fantasy tu za kufurahisha watoto lakini ukiiangalia kwa jicho la 3 hiyo chronicles of narnia utaona kuna vitu inaongelea vinarandana na masuala ya Bible ingawa kwa picha ingine mfano.... Magician nephew inafanana sana na genesis, the lion,the witch and the wardrobe story ya Yesu duniani na yule white witch ni shetani, last battle ni kama revelation n.k humo ndani kuna wanefili wamewekwa (giants) ambayo ni moja ya forbidden topics za bible..... Kuna half-breed creatures kama satyrs,centaurs ambao bible inawataja ila nayo ni controversial topics na wachungaji hawana majibu kabisa!! sasa such things kwa kijana hasa wa kikristo mpenda kusoma maandiko lazima inamfikirisha sana na kuiona movie hiyo kwa jicho la tofauti kabisa ila kwa mtu yeyote tu anaiona kama any other fantasies.chronicles of narnia, snow white, alice and the wonderland, wizard of Oz unahisi zinaongelea kingine kipi zaidi ya kuwapa sympathy watoto wanaonyanyaswa majumbani kwao!
1. Utumwa wa muarabu na mzungu wote sawa tu ingawa kuna propaganda zipo kuonyesha waarabu ndio wakatili zaidi na wabaguzi zaidi kuliko wazungu watu wanasahau hao wazungu licha tu ya kukoloni ili waliwahi jaribu kufuta kizazi cha jamii nzima ya watu rejea kisa cha wajerumani namibia, Wabelgiji congo, na wazungu waliotaka kuangamiza red indians woteeee!! Hivyo binafsi naamini wazungu wana ukoloni mbaya zaidi ingawa unafichwa na baadhi ya maendeleo waliotuachia kutupumbaza na kuwaona wana utu kuliko waarabu.zitto junior
• Unaongeleaje utumwa wa mwarabu na mzungu?.
• Freewill ni nini kwako?.
• Wazazi wako walikosea wapi ambapo unahangaika usije kosea kwa watoto wako?
• Kanisa halishawishi condom lakini halishawishi utoaji mimba, je kwa muono wako kiumbe chini ya miezi 3 kinastahili haki zote za binadam?.
Ni mengi tu ila kikubwa mimi ni mtu nayejali sana feelings za watu hivyo huwa nawapa sana priority wenzangu hadi muda mwingine najisahau..... Nakumbuka kuna kipindi nikiwa chuo niliwahi kuandikia assignment ya rafiki zangu wawili na kusubmit hata kabla yangu sijaanza..... Such sacrifices huwa ndio napenda kuoffer kwa rafiki na ndugu
Kwa wanawake ni special kidogo zamani nlikuwa najitoa sana ila wengi walitake advantage sana so siku hizi nimekuwa "mgumu" kwao ili kuepuka kuburuzwa.
1. Kuhusu Yesu watatu sijawahi kutana nalo ila nimekutana na scenario ambazo Yesu anavaa uhusika wa WATU tofauti zaidi ya mara 4 yaani mara 2 kwenye kitabu cha Daniel..... Na mara moja ufunuo na mara moja kwenye injili hivyo naweza ita manifestations za Yesu ila haimaanishi ni Yesu watatu tofauti unless kuwepo discrepancy za taarifa hasa kwenye Injili mfano mwaka wa kuzaliwa wanakinzana n.kMkuu Zitto Jr mm labda nikuulize maswali matatu maana wewe ni mfatiliaji mzuri wa mambo ya biblia na mm ni mmoja wafatiliaji wako na napenda mada zako
Katika pita zangu kusoma vitabu mbalimbali vinavyohusu biblia nimekutana na vitu vifuatavyo
Nimekuja kugundua Yesu katika biblia si mmoja bali kuna yesu watatu wametajwa ktk biblia na wote wakuwa tofauti swali je wewe katika library yako au elimu uliyokuwa nayo je umeshawahi kukutana na jambo kama hilo
La pili ukifatilia nadhari mbalimbali za kuhusu maisha ya yesu mbali na biblia utakuja kugundua yesu wa Nazareth alipata kuoa yaan kulikuwa na ndoa ya siri kati ya yesu na Maria Magdalena je vipi kuhusu jambo hili kwa ufahamu wako
Maisha ya Yesu yametawala na usiri mzito kuna nadharia zingine zinasema Yesu na waluomtabiri kuwa atakuja masih wote ni magician na Yesu walimfanya kama Magician mkuu ndio utakuja kuona hakuna historia yake kati ya miaka 12 hadi 30 alikuja kuonekana akuanza kuhubiri wengi wanasema walimficha ili kumfundisha Je vipi kuhusu habari hii umewahi kuisikia?
1. Kuhusu Yesu watatu sijawahi kutana nalo ila nimekutana na scenario ambazo Yesu anavaa uhusika wa WATU tofauti zaidi ya mara 4 yaani mara 2 kwenye kitabu cha Daniel..... Na mara moja ufunuo na mara moja kwenye injili hivyo naweza ita manifestations za Yesu ila haimaanishi ni Yesu watatu tofauti unless kuwepo discrepancy za taarifa hasa kwenye Injili mfano mwaka wa kuzaliwa wanakinzana n.k
2. Kuhusu hilo jambo nilisoma apocrypha ya Gospel of Mary Magdalene ndio kinaonyesha ukaribu wa "kutatanisha" kati yao.... Na baadhi wakatafsiri kuwa walioana na kuzaa watoto n.k. hii topic kama nlivyojibu hapo mwanzo bado ni controversial sababu Bible kuna vitu vingi imeviacha hivyo inaacha gap la taarifa ambalo ndio linasababisha nadharia kama hizi kuwa na nguvu ila kwa kuwa bible ilisema Yesu alifanyika MWANADAMU ikimaanisha alikuwa na tabia za mwanadamu kamili basi inawezekana alioa pia siwezi kataa wala kukubali maana bado sijapata source ya kueleweka.
3. Hiyo ya gap la miaka 12 hadi 30 nafikiri pia ni suala kama nilivyosema hapo juu kuwa GAP la taarifa linatoa mwanya wa nadharia mbalimbali kupata nguvu ila all in all wakristo wengi wanatumia mstari huu kusamurise kuwa Yesu alikua mtakatifu kati ya 12 hadi 30 hivyo wataipinga hoja alikuwa magician au budha kama wengine wanavyodai.
Luka 2:52
Naye Yesu akazidi kuendelea (kukua) katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.
Ninaamini yote ni ya kweli ila watu ndio tunaiharibu kwa interpretation zetu mfano mwanzo sura ya 1 inaongelea summary ya Bible yote kuanzia Genesis mpaka Revelation ila kuna watu wanadhani ni uumbaji wa kimwili ndio maana wanapoingia debate inafanya Bible ionekane kama inadanganya kwamba Adam alikuwa binadamu wa kwanza!! kumbe ni wakristo wanashindwa elewa Biblia 90% ni figurative language.....Zitto JR unaamin kuwa yote yalio andikwa kabika bible ni yakweli?
Na kama una amini, ni kitu gan kinakufanya uamin kuwa bible ni ya kweli.????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaamini yote ni ya kweli ila watu ndio tunaiharibu kwa interpretation zetu mfano mwanzo sura ya 1 inaongelea summary ya Bible yote kuanzia Genesis mpaka Revelation ila kuna watu wanadhani ni uumbaji wa kimwili ndio maana wanapoingia debate inafanya Bible ionekane kama inadanganya kwamba Adam alikuwa binadamu wa kwanza!! kumbe ni wakristo wanashindwa elewa Biblia 90% ni figurative language.....
Naamini ni ya kweli kwa sababu kuna baadhi ya mambo kwenye Bible yameji manifest kwenye maisha yangu mengi tu
Ninaamini yote ni ya kweli ila watu ndio tunaiharibu kwa interpretation zetu mfano mwanzo sura ya 1 inaongelea summary ya Bible yote kuanzia Genesis mpaka Revelation ila kuna watu wanadhani ni uumbaji wa kimwili ndio maana wanapoingia debate inafanya Bible ionekane kama inadanganya kwamba Adam alikuwa binadamu wa kwanza!! kumbe ni wakristo wanashindwa elewa Biblia 90% ni figurative language.....
Naamini ni ya kweli kwa sababu kuna baadhi ya mambo kwenye Bible yameji manifest kwenye maisha yangu mengi tu