JF Hard Talk "Zitto junior"

JF Hard Talk "Zitto junior"

Mkuu zitto kwanza habari yako? swali langu ni kuwa ni kitabu gani mbali na biblia kilikufungua sana uelewa ungependa na wengine wakisome? Movie pia, ni movie gani ungependa na wengine waione?
1. New age movement nmesahau author kidogo ila kilikuwa cha miaka ya 90 nilisoma nikiwa mdogo aisee kilinifungua sana kichwa kuhusu jinsi dunia inavyoendeshwa kuanzia sekta ya kibenki,siasa,makundi ya siri kama freemasonry,dini mbalimbali,vita n.k hivyo ukikisoma hicho utaiona dunia katika muktadha mwingine kabisa.

2. Pia all time best ni 48 laws of power kilinifungua mengi sana hasa mbinu za wanasiasa kutulaghai kwa ufupi ukisoma kile kitabu chote hakuna mwanasiasa anaweza cheza na akili yako zaidi ww ndio utawacontrol sana watu.... Nakumbuka nilikuwa naogopa sana wanawake maana niliingia shule mdogo sana ila baada ya kusoma hiki kitabu sikuwahi tongoza mwanamke ila nilitumia "maigizo" kuwapata na tokea hapo nikiri tu hakuna kitabu practical kilichobadilisha maisha yangu kama hiki.

Movies
Kuhusu movie niliipendaga sana chronicles of Narnia (1st edition sio hii ya sasa) nilisoma novel zote 8 za C.S lewis na movie zake 8 nilizipenda.... Ukifuatilia muundo wa movie hii ni kama jamaa alikuwa inspired na Bible hivyo kuanzia series ya kwanza kama ww ni mtu wa kuconnect dots basi unaweza ona ina huo mtiririko ni movie ya fantasy nyingi na ilinifanya nifikirie vitu vingi sana enzi hizo niko darasa la 4 hivyo naikubali sana mpka leo.

Movie nyingine ni vintage point nafkiri ilitoka 2015 hivi.... Hii movie bhana inaonyesha watu wanavyowekeza akili zao kusolve mauaji yaani Rais anakuwa assasinated sasa camera zilichukuliwa kwa angle tofauti kwahiyo movie inarudia angle ya kila camera kwenye lile tukio hasa kwa washukiwa ili kumtambua muuaji alikuwa nani.... Yaani movie nzima ina Scene moja ila si mchezo mpaka inaisha unaitamani.... Kiukweli movie inasaidia kukufikirisha sana na kukufanya akili yako iwe ''sharp'' sio mtu unaibiwa simu chumbani hata huwezi connect dots nani kakuibia bhana!!

Hizo ni baadhi tu ingawa ziko nyingi sana
 
chronicles of narnia, snow white, alice and the wonderland, wizard of Oz unahisi zinaongelea kingine kipi zaidi ya kuwapa sympathy watoto wanaonyanyaswa majumbani kwao!?
 
zitto junior
• Unaongeleaje utumwa wa mwarabu na mzungu?.
• Freewill ni nini kwako?.
• Wazazi wako walikosea wapi ambapo unahangaika usije kosea kwa watoto wako?
• Kanisa halishawishi condom lakini halishawishi utoaji mimba, je kwa muono wako kiumbe chini ya miezi 3 kinastahili haki zote za binadam?.
 
Shukrani mkuu. Mi kwa kawaida huwa sipendi vitabu vya 7 ways to...., 48 laws of ...., 10 habits of .......Ila kwa ulivyokizungumzia hiki kitabu hapa umenifanya nifikirie kukisoma. Hiyo movie itabidi niicheki. Gracias.
 
Una interest gana na Rwanda?!??

Je, unajua Mr Slim anakutafuta?!??!?

Je hauni hatari ya kuuawa kwa kuji expose?!?!

Ntarudii
1. Niliwahi soma huko primary school nikiwa mdogo sana miaka ya 90 thus nina marafiki wengi sana wa kinyarwanda na hata university nilisoma na watutsi wengi sana actually marafiki zangu wasio watanzania 90% ni watutsi... hivyo ndio maana ninapenda sana kuchangua thread za kuhusu Rwanda.

2. Mr slim hawezi mtafuta mtu nobody asiye na madhara kama zitto junior ingekuwa napost mada kwenye mainstream media kama BBC hivi ohooo ningekuwa cyangugu sahivi nanyea ndoo!!!

Nakumbuka Wakati niko chuo tumejikusanya wabongo,wacongoman na wanyarwanda kuna jamaa mmoja "nahisi pandikizi" alianzisha mada ya wahutu na watutsi sasa mie nikaanza wakandia sana watutsi/kagame about genocide..... Cha kushangaza huyo "jamaa" alikuwa anarekodi conversation nzima duh ndio mtutsi mwenzake mmoja akanitonya nikabadili mada na baadae tukamfuata kumforce afute ile record..... Tokea hapo sikuwahi muongelea kagame in public tena!! Maana huko kwao ni Mungu Mtu!!

3. Narudia tena kagame hawezi mtafuta mtu asiye na madhara kwa himaya yake.... Hata humu JF hana watu bali ''washabiki'' tu ndio maana kuna nyuzi ukimkandia tuu wanakuja Inbox na vitisho kibao..... Ila naamini anaweza mkamata mtu anayehatarisha usalama wa nchi yake hasa mainstream media na sio tu kwenye blog ya kiswahili kama hii ambayo haina ushawishi huko Rwanda au maziwa makuu.
 
chronicles of narnia, snow white, alice and the wonderland, wizard of Oz unahisi zinaongelea kingine kipi zaidi ya kuwapa sympathy watoto wanaonyanyaswa majumbani kwao!
Mkuu hizo zingine ni fantasy tu za kufurahisha watoto lakini ukiiangalia kwa jicho la 3 hiyo chronicles of narnia utaona kuna vitu inaongelea vinarandana na masuala ya Bible ingawa kwa picha ingine mfano.... Magician nephew inafanana sana na genesis, the lion,the witch and the wardrobe story ya Yesu duniani na yule white witch ni shetani, last battle ni kama revelation n.k humo ndani kuna wanefili wamewekwa (giants) ambayo ni moja ya forbidden topics za bible..... Kuna half-breed creatures kama satyrs,centaurs ambao bible inawataja ila nayo ni controversial topics na wachungaji hawana majibu kabisa!! sasa such things kwa kijana hasa wa kikristo mpenda kusoma maandiko lazima inamfikirisha sana na kuiona movie hiyo kwa jicho la tofauti kabisa ila kwa mtu yeyote tu anaiona kama any other fantasies.

Kwa ufupi CS lewis kagusia forbidden issues kwenye Bible
 
zitto junior
• Unaongeleaje utumwa wa mwarabu na mzungu?.
• Freewill ni nini kwako?.
• Wazazi wako walikosea wapi ambapo unahangaika usije kosea kwa watoto wako?
• Kanisa halishawishi condom lakini halishawishi utoaji mimba, je kwa muono wako kiumbe chini ya miezi 3 kinastahili haki zote za binadam?.
1. Utumwa wa muarabu na mzungu wote sawa tu ingawa kuna propaganda zipo kuonyesha waarabu ndio wakatili zaidi na wabaguzi zaidi kuliko wazungu watu wanasahau hao wazungu licha tu ya kukoloni ili waliwahi jaribu kufuta kizazi cha jamii nzima ya watu rejea kisa cha wajerumani namibia, Wabelgiji congo, na wazungu waliotaka kuangamiza red indians woteeee!! Hivyo binafsi naamini wazungu wana ukoloni mbaya zaidi ingawa unafichwa na baadhi ya maendeleo waliotuachia kutupumbaza na kuwaona wana utu kuliko waarabu.

Freewill kwangu naitafsiri kama uwezo wa mtu kujiamulia mambo yanayomhusu nafsi yake mwenyewe bila kuingiliwa na entity yoyote iwe kiroho au kimwili.

Ukaribu kwa watoto walikosa kabisa yaani mzazi akiingia unahisi ni JIWE kaingia kwenye kikao cha baraza la mawaziri!! Kila mtu anakuwa na hofu,mashaka na kutojiamini kabisa akiwa mbele ya wazazi mwisho wa siku inaua self confidence. Natamani sana watoto wangu niwe bestfriend wao wa kwanza yaani tuvunje mipaka ya uzazi ili wawe free zaidi kwangu na kujengana hadi wafike napotaka wafike.

Mkuu kanisa linasimamia misingi ya Biblia.... Sex is meant for procreation sio enjoyment hivyo kuvaa kondomu kunaua ile dhana ya procreation na hata kuna mtu kwenye Bible aliuawa kwa kukojoa nje ya uke!! Pia kutoa mimba itapingana na procreation ambayo Mungu aliagiza kwenye Genesis hivyo siwezi laumu kanisa kupinga hilo

Mtoto wa miezi 3 yes anastahili haki za binadamu maana naye ni mtu kamili mwenye haki zake ambazo ziko guaranteed na mikataba mbalimbali ya kitaifa na ndio maana tokea unamzaa ukimnyima haki zake basi una kesi nyingi tu licha ya kwamba ni mali yako binafsi!!!
 
Hongera mkuu umejibu vizur, japo hujagusia japo kidogo kwa upande wa ndugu..

Pia nakusii endelea na moyo huo, mshirikishe Mungu kumjua mtu wa maana na faida kwako.
Ni mengi tu ila kikubwa mimi ni mtu nayejali sana feelings za watu hivyo huwa nawapa sana priority wenzangu hadi muda mwingine najisahau..... Nakumbuka kuna kipindi nikiwa chuo niliwahi kuandikia assignment ya rafiki zangu wawili na kusubmit hata kabla yangu sijaanza..... Such sacrifices huwa ndio napenda kuoffer kwa rafiki na ndugu

Kwa wanawake ni special kidogo zamani nlikuwa najitoa sana ila wengi walitake advantage sana so siku hizi nimekuwa "mgumu" kwao ili kuepuka kuburuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Zitto Jr mm labda nikuulize maswali matatu maana wewe ni mfatiliaji mzuri wa mambo ya biblia na mm ni mmoja wafatiliaji wako na napenda mada zako

Katika pita zangu kusoma vitabu mbalimbali vinavyohusu biblia nimekutana na vitu vifuatavyo

Nimekuja kugundua Yesu katika biblia si mmoja bali kuna yesu watatu wametajwa ktk biblia na wote wakuwa tofauti swali je wewe katika library yako au elimu uliyokuwa nayo je umeshawahi kukutana na jambo kama hilo

La pili ukifatilia nadhari mbalimbali za kuhusu maisha ya yesu mbali na biblia utakuja kugundua yesu wa Nazareth alipata kuoa yaan kulikuwa na ndoa ya siri kati ya yesu na Maria Magdalena je vipi kuhusu jambo hili kwa ufahamu wako

Maisha ya Yesu yametawala na usiri mzito kuna nadharia zingine zinasema Yesu na waluomtabiri kuwa atakuja masih wote ni magician na Yesu walimfanya kama Magician mkuu ndio utakuja kuona hakuna historia yake kati ya miaka 12 hadi 30 alikuja kuonekana akuanza kuhubiri wengi wanasema walimficha ili kumfundisha Je vipi kuhusu habari hii umewahi kuisikia?
 
1. Kuhusu Yesu watatu sijawahi kutana nalo ila nimekutana na scenario ambazo Yesu anavaa uhusika wa WATU tofauti zaidi ya mara 4 yaani mara 2 kwenye kitabu cha Daniel..... Na mara moja ufunuo na mara moja kwenye injili hivyo naweza ita manifestations za Yesu ila haimaanishi ni Yesu watatu tofauti unless kuwepo discrepancy za taarifa hasa kwenye Injili mfano mwaka wa kuzaliwa wanakinzana n.k

2. Kuhusu hilo jambo nilisoma apocrypha ya Gospel of Mary Magdalene ndio kinaonyesha ukaribu wa "kutatanisha" kati yao.... Na baadhi wakatafsiri kuwa walioana na kuzaa watoto n.k. hii topic kama nlivyojibu hapo mwanzo bado ni controversial sababu Bible kuna vitu vingi imeviacha hivyo inaacha gap la taarifa ambalo ndio linasababisha nadharia kama hizi kuwa na nguvu ila kwa kuwa bible ilisema Yesu alifanyika MWANADAMU ikimaanisha alikuwa na tabia za mwanadamu kamili basi inawezekana alioa pia siwezi kataa wala kukubali maana bado sijapata source ya kueleweka.

3. Hiyo ya gap la miaka 12 hadi 30 nafikiri pia ni suala kama nilivyosema hapo juu kuwa GAP la taarifa linatoa mwanya wa nadharia mbalimbali kupata nguvu ila all in all wakristo wengi wanatumia mstari huu kusamurise kuwa Yesu alikua mtakatifu kati ya 12 hadi 30 hivyo wataipinga hoja alikuwa magician au budha kama wengine wanavyodai.

Luka 2:52
Naye Yesu akazidi kuendelea (kukua) katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.
 
Zitto JR unaamin kuwa yote yalio andikwa kabika bible ni yakweli?
Na kama una amini, ni kitu gan kinakufanya uamin kuwa bible ni ya kweli.????

Ninaamini yote ni ya kweli ila watu ndio tunaiharibu kwa interpretation zetu mfano mwanzo sura ya 1 inaongelea summary ya Bible yote kuanzia Genesis mpaka Revelation ila kuna watu wanadhani ni uumbaji wa kimwili ndio maana wanapoingia debate inafanya Bible ionekane kama inadanganya kwamba Adam alikuwa binadamu wa kwanza!! kumbe ni wakristo wanashindwa elewa Biblia 90% ni figurative language.....

Naamini ni ya kweli kwa sababu kuna baadhi ya mambo kwenye Bible yameji manifest kwenye maisha yangu mengi tu
 
Iman yako haba Zitto JR,

Unaonekana unakijudge kitabu cha Mungu kwa akili zako mwenyewe.

Mimi napenda nikushauri kitu,

Naomba ukamuulize mwalimu wako kwann biblia imeitwa kitabu kitakatifu?????

Mimi naamin Bible ni kitabu kitakatifu.

Swala la kushindwa kuielewa bible na kwenda kujibebea maana nje ya bible mnakosea sana binadamu.

Nachukia watu wanaojipa mafunzo ya neno la Mungu nje ya kitabu kitakatifu Bible,

Usipoteze Muda wako kusoma vitabu vya wanafalsafa wengine na huku bado waitaji kujua mengi kuhusu biblia.

Kama mwana falsafa atakufundisha biblia kupitia hiyo hyo biblia apo sawa.

Story zote za nje ya bible ambazo zina story sawa na kilichoandikwa kwenye bible.

MIMI SIVIAMIN HATA KIDOGO KWA WAANDISI HAO kwani MUNGU WANGU HAWATAMBUI.
Ninaamini yote ni ya kweli ila watu ndio tunaiharibu kwa interpretation zetu mfano mwanzo sura ya 1 inaongelea summary ya Bible yote kuanzia Genesis mpaka Revelation ila kuna watu wanadhani ni uumbaji wa kimwili ndio maana wanapoingia debate inafanya Bible ionekane kama inadanganya kwamba Adam alikuwa binadamu wa kwanza!! kumbe ni wakristo wanashindwa elewa Biblia 90% ni figurative language.....

Naamini ni ya kweli kwa sababu kuna baadhi ya mambo kwenye Bible yameji manifest kwenye maisha yangu mengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu naomba uniambie,
Na hisi na mimi naweza nikawa niko tofauti hapo kidogo,

Kwamba kitabu cha mwanzo kimefundisha mambo gani???
Naomba unieleze kidogo naweza pata kitu kipya hapo ambacho sikua nikifahamu.

Back
Top Bottom