Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Nikisema unamkubali sana sababu ni wa Kigoma mwenzako nitakua nimekosea???Wakati natafuta ID gani ya kutumia humu JF kipindi hicho zitto alikuwa anatrend sana hasa kesi yake na CHADEMA hivyo likanijia wazo kwanini nsiite tu zitto junior.... Kiufupi nilikuwa namkubali sana zitto na kiukweli ndio mtu aliyenifanya kuanza kufuatilia siasa tokea 2006
nakumbuka hata laptop yangu ya kwanza kumiliki enzi hizo wallpaper nilimuweka zitto na nilikuwa na folder zima limejaa maandiko na video zake akiwa jukwaani,makongamano na bungeni lenye uzito wa takriban GB 20!! dah mahaba bhana!!
Anyway that was back then nikiwaga undergraduate...
Lol, (usijibu, i was kidding)
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.