[emoji23][emoji23][emoji23]Mida yako hiyo. ....
Devil's hour
Spooky. ...una macho. ....swali limetoweka [emoji33][emoji33][emoji33]Kina anza kifo
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]aloooo hiki kikaango nahisi karai dogo maana mkaangwaji ni mkubwa kuliko uwezo Wa kikaangio
maana watu wanaogopa kumuuliza maswali konk kisa kuogopa kurogwa
Kiimani ni nuru, ni muongozoChifu,naomba unitajie kazi za nyota.
Sijawahi kuroga ila nimewahi kuwafanya vibaya walionikosea pakubwa...
Elimu yangu ya uchawi ni kipawa binafsi
Jr[emoji769]
Ishi kiroho usiishi kiduniaMshana Jr Amani ni kitu ambacho kila mtu anaelekea kutafuta, kila mmoja anahitaji amani ya ndan (Inner Peace) lakini kwa wengi wetu ni kama tunatwanga pili pili badala ya kuipata amani tunayotafuta tumejikuta katika hali mbaya ya ukosefu wa amani.
Kwa upande wako, Tupe formular unayoifaham ya kumletea mwanadam inner peace tukajifunze kwa hio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86] kuwafanya vibaya kivipi? kuwaroga au kuwaua?
Ishi kiroho usiishi kidunia
Jijengee ridhiko binafsi usitake zaidi
Kuwa msamehevu na mwenye tafakuri kwa kila kitu
Ishi kwa kiasi
Epuka kula kitu chenye damu
Jr[emoji769]
Nakazia Swali.Fafanua hapo kula kitu chenye damu, unamaanisha nyama?
Fafanua hapo kula kitu chenye damu, unamaanisha nyama?
Kula nyamaNakazia Swali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji40]
Jr[emoji769]