JF HARDtalk na "Mshana JR"

JF HARDtalk na "Mshana JR"

Mshana Jr Amani ni kitu ambacho kila mtu anaelekea kutafuta, kila mmoja anahitaji amani ya ndan (Inner Peace) lakini kwa wengi wetu ni kama tunatwanga pili pili badala ya kuipata amani tunayotafuta tumejikuta katika hali mbaya ya ukosefu wa amani.

Kwa upande wako, Tupe formular unayoifaham ya kumletea mwanadam inner peace tukajifunze kwa hio.
 
Ishi kiroho usiishi kidunia
Jijengee ridhiko binafsi usitake zaidi
Kuwa msamehevu na mwenye tafakuri kwa kila kitu
Ishi kwa kiasi
Epuka kula kitu chenye damu

Jr[emoji769]
 
Umetisha Mkuu, naona umeminya kiaina wale waliotaka kusarandia wa moyo wako wakikusoma hapo juu wataachana na dhana ya mtongozo. Hukawii kuwalaza makaburini uchi wa mtu!!!

Dah! Haya makitu mie ningeyajua ningeogopa sana kuyatumia. Kumdhuru mtu hata aliyenikosea nisingeweza aisee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji40]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom