Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Da Vinci hili swali naomba nisijibu leo, lakini mimi ni mkubwa japo siyo mbabu ni mchizi tu wa kitaa.Samahini mkuu naomba kujua haya..
●Generation uliyozaliwa inaitwaje
●Ulihitimu mwaka upi chuo??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mzee baba kwa nn usitoa hata vitabu aiseSiku hizi haupo kabisa, na ulikuwa ni utamaduni ambao tuliiga kutoka kwa waingereza tu. Siku hizi hata ukiingia chambers unakutaka na Jaji kavaa shati la Batiki na hana shida, mimi nilibaki nacheka sana tu. Japo nisema kabisa suala zima la Legal Practice sijahusika nalo kwa muda mrefu sana, mimi nahusika na Research na mambo mengineyo
ohooo 😀😀😛Da Vinci hili swali naomba nisijibu leo, lakini mimi ni mkubwa japo siyo mbabu ni mchizi tu wa kitaa.
Ahaaa...Da Vinci hili swali naomba nisijibu leo, lakini mimi ni mkubwa japo siyo mbabu ni mchizi tu wa kitaa.
Ila mkuu avatar yako daah zero commentMkuu mala ya kwanza kujiunga Jf nilijiita Mzizi mkavu baada ya kugundua kwamba id ziko duplicated niliwaomba mod wanibadili na kuniita Zero iQ, ukiniuliza uliwaza nini kujiita hivyo sina jibu kwa sababu ilikuja Automatic
Sent using Jamii Forums mobile app
Shabiki wa mchezo upi na timu yangu: Nitakutag kwenye jukwaa la Sport halafu utajua Cousin.Je Malcom Lumumba
• Shabiki wa mchezo upi?.
• Kama mpira ni timu gani pale EPL?.
• Siasa zako ni za mrengo upi?.
• Kwanini sio mpenzi wa masuala ya dini?, nini mtizamo wako kuhusu dini?.
• Were you a blacksheep in your family?, if not were you a role model to your peer?. if not then whats are your opinions regarding family raising!.
Shida ya Wamarekani ni moja tu: Ndani ya miaka mingi imekuwa ni nchi ambayo inaihujumu Tanzania hivyo hata kama leo inakuwa na nia njema sidhani kama Tanzania itakubali kuwasikiliza na kuupokea huo ushauri vizuri. Walileta ushauri kuhusu Structural Adjustment Program na wakavuruga nchi, hadi Nyerere akawauliza wazi wazi: Mimi mlinikosoa, ninyi mefanya nini ??Ahaaa...
Hiyo siku nyingine itakua lini.. kalenda haina siku kama hiyo!!
Mkuu
Unazungumzia vipi sakata la stiglers Gorge (?) Na Wamarekani???
Nini hasa maoni yako
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kipindi kile nilikuwa nina muda sana wa kuandika, hivyo nilituma sana mabandiko.Mchizi wa kitaa kwanini siku izi huleti nondo kama alizokuanazo THE EMPEROR??
Upo kwenye ndoa mwaka wa ngapii? ?
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Shukrani mkuu kwa kuni-Tag napitia page by page hapa nasoma nondo za huyu great thinker wa kipekee kabisa JF
Nadhani hili linachangia mno.. ila Ahsante kwa mada zako zenye madini adimu!!Kipindi kile nilikuwa nina muda sana wa kuandika, hivyo nilituma sana mabandiko.
Siku hizi naamka saa 11 na kulala saa 7 au 6, inaniwia vigumu saa kuandika mada mpya.
Honestly inaniuma sana.. Nayasikia maumivu na machungu aliyonayo Rais juu ya hilii. Asee ni wakati wa kushikamana kizalendo. Hii ni nchi yetu.Shida ya Wamarekani ni moja tu: Ndani ya miaka mingi imekuwa ni nchi ambayo inaihujumu Tanzania hivyo hata kama leo inakuwa na nia njema sidhani kama Tanzania itakubali kuwasikiliza na kuupokea huo ushauri vizuri. Walileta ushauri kuhusu Structural Adjustment Program na wakavuruga nchi, hadi Nyerere akawauliza wazi wazi: Mimi mlinikosoa, ninyi mefanya nini ??
Upande wa pili sasa, Marekani atakuwa na Moral Position ya kutambia sisi tuache kuharibu mazingira pale tu ambapo yeye atakubali kwamba anachangia sana katika kuvuruga hali ya hewa ya dunia na pale atakapokubali kwamba dunia inakumbwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Kama hakuna mabadiliko ya hali hewa kama asemavyo Donal Trump, basi hata Stiegler's gorge nako hakutakuwa na madhara yoyote.
Wataalamu wa Marekani wamesema dunia haina Global Warming, je tutawaaminije kwenye hili la Stiegler's gorge ???
NB: Yote tisa, hata kama Tanzania haiwapendi wamarekani hili halizuii sisi kufanya utafiti wetu wa kitaalamu juu ya hilo lisemwalo.
Kama litakuwa na madhara basi tutafute njia mbadala, lakini kama kuna uwezekano nashauri wajenge tu.