Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😂😂😂Kumbe ni wewe
Nimekupata sasa🤣
Nimekumiss
Sio mimi shem
Mekumiss pia ila sio yule unayemfahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kumbe ni wewe
Nimekupata sasa🤣
Nimekumiss
Hahaha.............hatari MkuuSi mlishasema Ngombe hazeeki maini
Kwa sababu bado nguvu zipo na mnapumua tuendelee tu kuteseka😀😀
Wazee wa kubomoa👐Hahaha.............hatari Mkuu
Wakati wewe unamtumia kistaarabu kuna mwamba akipelekewa anayachapa na makofi, hapo ndiyo Wazee tukikumbuka machozi lazima yatutoke 🤪
Migombani/KijijiniMndenyi ni Nini?
Hatari MkuuWazee wa kubomoa👐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo halikuwa huba bali “bua”.
Basi alikuwa anawafanyia vibaya jinsia ke..so akajua yalealiyokuwa akiyatenda..basi nawe utakuwa ni wale wale woi.
Nimejaribu kuwaza kivingine au alikuwa anataka kukupiga chini muda sema hakupata sababu[emoji16][emoji16]
Mwanadamu bhana hajawahi kuwa na utulivu jamani[emoji38]
Kuna mwamba Niko naye sasa huyu bwana ni anajielewa 95% aise na tangu nimekuwa nae nimekuwa na Amani mno siwezi lalamika [emoji3059]
Sasa yapata wiki moja ninaanza kupata kisirani juu yake yani ninakila chokochoko za kuchimbua ugomvi🥹🥹
Nimelogwa hakika niombewe [emoji38][emoji38]ninajijua sipendagi mikwaruzano kwenye mahusiano kabisa
Tumekula chumvi nyingi mjukuu 🤪Miaka 78 mchezo!
Noma sana!Samaleko,
Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.
Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea,Kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music,basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba,halafu tab nyingine nilifungua JF,Sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako,
Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye,Mimi Niko zangu napikapika,basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.
Baby una account Jamii forum?
Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi[emoji16][emoji16]
Eeeeeh bwana nilisimangwaaa,nilisomewa risala,niliambiwa sifai kabisa,Mimi sio wife material,maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF[emoji849],ikawa JF,JF,JF sipumui,mpaka safari ikaishia njiani...
Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki[emoji1787]??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?
NB:nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake,nikabadili zangu ID chaaaa..
Happy Maulid to all
Maki hakika hili ni pepo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakorii nimecheka sana....
Hiyo habari ya Kisirani sijui ni Upepo...Woiiiii
Hahaha.........kweli, inatakiwa wastani kufidia ile tuliyokula enzi zile 🤗Inabidi supu wasikuwekee chumvi
Hahaha.................hasa tukishalewa, hatuchelewi kukupa kadi na nywila ili ukatoe salio benki 😅
Tukilala ni mwendo wa kukoroma hadi kunakucha 🤪
[/QUOTE
Ukija baadae usisahau kubeba kadi Yako ya TPB,nikutunzie wakati unakunywa wine🤣
Wa mtaani wakiingia tu humu ndani, wanabadili gia angani 😀Kwani si ndio sisi sisi wa mtaani Mzee?😁
Sasa ukuu mchangamfu na naona afu kwangu naona auko comfortable story unazikatisha na sawa si lazima niingie katika mgogoro wa nafsi na nianze kuingiza maisha ya huku katika penzi mana kupotezea weengi hushindwa na labda kama akupendi anapita tuLabda asiwe mtu wa kuyaleta maisha ya jf katika mahusiano yetu