JF imekusaidia nini tangu uijue?

Nimeongeza uelewa kwa sehemu kubwa Sana kuhusu maisha, Kuna wakati nilipitia magumu nashukuru sana yumo humu rafiki aliyesimama nami katika wakati huo, alinitia moyo aliomba na Mimi alinishauri na kujitoa kuhakikisha nakuwa sawa, siwezi kukusahau we kaka, jina lake la humu linaanzia na M na kuishia H
 

Etiee
 
Imenisaidia kumfahamu mshana jr na kiranga
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha kuna mrembo nilikua nachat nae pisi kali haswaa daah kumbe alikua mjamzito, natumaini sasa hivi mtoto ameshakua nanii popote ulipo nitafute mrembo tuyajenge,
[emoji847][emoji5]
Ukipata wawili, ebu nigaiye mmoja mwana...[emoji39][emoji39]
 
Bila shaka ni Mshana Jr na Mshana Jr 2
😜😜😜 mie JF ni shule pia nimepata marafiki wengi sana humu wengine tulisoma pamoja shule mbali mbali.

Kuna watu humu wana shule kubwa sana lakini humu huwezi kuwagundua hadi upate bahati ya kufahamiana nao kwa karibu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…