JF imekusaidia nini tangu uijue?

Nimefahamiana na watu tofauti kupitia bandiko langu la kutafuta kazi lakin katika wote kuna member mmoja hivi amejua kunipigania kwa kweli yaani wewe kaka I umenipambania sana japo sijafanikiwa lakini jitihada zako zinaonekana
 
Reactions: BAK
Creative thinker, to be able to think outside the box.

. Teenager jamaa wa maswali gunia [emoji23]
Ila JF ina miamba ya Lusaka ndo ninachoipendea nilikuwaga mbishi zamani JF imenifanya kuwa creative thinker
 
[emoji3064][emoji15][emoji848][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23] BAK Sio mimiii[emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Ben Saanane amefariki kwani?
 
imenisaidia kufuga kuku japo wanakula sahizi hawatagi kama mwanzo
 
Dah jf imenisadia Sana Sana ! Last month nilikuja na thread yangu nilivyonufaika tangia nijiunge miaka sita iliyopita !

1,,, nmefanikiwa kufahamiana na big sister mmoja ivi ! Amenisaidia Sana huyu mtu,, kanipa sana connection, amekua Kama ndugu wa damu kabisa , ana moyo wa dhahabu

2,,, kadada flani hivi napenda kukatania Sana , Ni mtu charming, stubborn flani ivi then mrembo ! Anajielewa mno, mjin Mambo mengi ila tunaonana Mara chache chache, tukionana Ni full story , moja bard moja Moto ,,,tunasapotiana Sana !

3,,, mwana mmoja ivi tunaishi mikoa tofauti , huwa tunatembeleana na kusapotiana ama kushauriana Mambo kadhaa, Ni mtu smart Sana , tumekuwa Kama brothers,,,!
Thanks again jf !
 
Nilitamani niwajue wachawi. Tangu kuzaliwa kwanfu sijawahi ona mchawi anjitangaza. Ila kupitia jf ninashukuru nimemjua chawi la wachawi Mshana Jr [emoji23][emoji23] (am joking)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…