JF imekusaidia nini tangu uijue?

JF imekusaidia nini tangu uijue?

Nilifungua kampuni..ambayo inaendelea si haba pia

kuna jamaa anaitwa CONTROLA

Na nyuz zake za ujasiriamali...nilifanikiwa kufungua magoli ma5 ya biashara tofaut tofaut

Ninaendelea nayo kiukwel si haba...nauona mwanga..

Lengo ni kufikisha magoli 50 mpaka 2025

For this i thank jf na sana huyu mwamba CONTROLA anajua sana.
 
Na kweli ila wazamiaji hawatakosekana tu, maana kwenye magroup ya akina mama na akina baba pia wamo so mambo yamebadilika sna mkuu

Dah umenikumbusha mbali
Nakumbuka kipindi fulan way back waliunda group la ladies tu huko whatsapp
Hiyo link ikawa inasambaa ila sharti kujiunga uwe ni lady na maadmin walkuw wanakagua profile..
So chap chap nkaweka profile ya kike nkajiunga
Wow nkakuta group la watu 250+ wamejaa madem
ila baada ya chatting nyingi ilikuja kugundulika kumbe madem pekee walkuwa ni admin wawili tu
Tulobaki wote ni midume
So wakatengeneza lingine watu tukaleft hili tukavamia hilo lingine circle ikajirudia tena
 
Nilifungua kampuni..ambayo inaendelea si haba pia

kuna jamaa anaitwa CONTROLA

Na nyuz zake za ujasiriamali...nilifanikiwa kufungua magoli ma5 ya biashara tofaut tofaut

Ninaendelea nayo kiukwel si haba...nauona mwanga..

Lengo ni kufikisha magoli 50 mpaka 2025

For this i thank jf na sana huyu mwamba CONTROLA anajua sana.

Hizi nyavu zitashika wengi...niamini mimi
 
IMENISAIDIA KUPATA KADI YA CHAUMMA,
CHAMA KINACHOENDA KUSHIKA DOLA MWAKA HUU MWEZI WA KUMI.
Hashimu Rungwe bwana...!


Anauliza Vijana si Mtalima...?



Nilishawambia mazao/Chakula Tutauza Mashuleni..


Hahaaha -Hakyanini Ukiutukana Ubwabwa Nitakushitaki.
 
Imenisaidia kupata maarifa na kufurahi pia.
 
Heh!sasa since July 26 nilipojoin JF
Alafu short names ladies huwa hamna shida kabisa[emoji23][emoji23]
Sio Kama wale kina Katherine[emoji4][emoji23]
😂😂😂 Ila una ugomvi na wenye majina marefu wewe
 
jf ilisababisha nikakamatwa na kulala lokap kesho yake nikatoa rushwa laki4 kwa polisisiem nikaachiwa.kisa nilipost tukio la kweli lililofanywa na hao polisi
 
Back
Top Bottom