JF ina pisi Kali, kuna niliowaona Kwa macho yangu, sijawahi kutana na Mzee

JF ina pisi Kali, kuna niliowaona Kwa macho yangu, sijawahi kutana na Mzee

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Nimeona Kuna mijadala humu kuhusu jamii forum kuwa na warembo, binafsi Mimi nilisha wahi pata bahati ya kuwaona na nikawachunguza na wakanijua japo sikutaja I'd yangu nawao hawakunitajia I'd zao sijui kwanini.

1. Haka ni katoto, siwezi ita mdada katoto tuliKua tunafanya kazi sehem Moja, kalikua kanachuo, tutiti tudogo hata maziwa sizani kama kanatoa, asee ni karembo balaa. Ni ka member sijui kama bado kapo

2. Huyu alikua meneja wangu, badae akaacha aksepa zake kurudi bara, nasikia asha olewa Binti hata 30 sidhani.

3. Huyu nilijikuta nime fall in love, ni mweusi, vitu vyangu hivi, anapenda kulaza nywele NYUMA ni ndefu, ana trako aseeeee🍑 balaa, huyu ni mtumishi wa serikali huko Tanga, alikuja zenji KIKAZI smz. Alipotea badae nikaja tena KUMUONA ana mshikaji hivi white ana pikipik, hua ana mbeba, huyu tulipiga sana stori za kuhusu paka, akanipa kuku nimpe paka ale, huyu paka alikua kanizoea sana pale kazin kwangu.🤣🤣

4.huyu ni madam boss, mweusi ana kampuni inayo jishughulisha na mambo ya uzalishaji mkaa, tuishie hapo, yeye na crew lake Kwa Bata hawajambo asee huyu na wenzake wanakula bataa tungi mziki kubambiana sana tu, huyu madam boss alinionyesha picha zake akiwa na wazito serikali, wazungu wenye kampuni zao nje, ila fresh tu mwanangu huko uliko big up, naamini kampuni inaendelea vyema, ilibaki kidogo tu nimuombe kazi🤣🤣🤣🤣🤣🙏🫵🫵🫵 madam shutout where you are.


5. Huyu ye analalamikaga tu eti hapendi mada za siasa siasa huyu yeye alipata dodo mahala ni kiboss siku hizi. Mtoto huyu

Hawa ni wachache ambao Nina ushahidi mia mia, wengine sikua na ushahidi alaafu hawa ni WA sehemu Moja tena kieneo tu, Kuna mtu anauliza eti wanaweza fika mia humu jf , bro mia wachache hao, wapo shazi sema wanaishi kimachale ila huyu wa Tanga mweusi popote alipo ajue alini kamata asee alafu mkali balaa nilitaka kumtongoza akanichukia ghafla akakata mazoea mpaka akasepa badae tulipo kutana hapohapo ndo stori tena zikaanza.
 
Screenshot_20251111-181333~2.jpg
 
Acha uongo mkuu, huo uongo tena wa wazi kabisa. Kwa wanaokula batq ni kweli jf wengi wao wala bata siwez kuwqtag hapa ila sio mabinti mkuu
Acha ubishi bhasi, mambo ya ksnge nije nikudanganye ili? Sijasema wote ni mabinti nimesema sikuwahi kutana na Mzee simanishi hawapo, alafu akili tu ya kawaida Kwa siku jamii forum inapitiwa mpaka na watu elfu 15 hivi Hilo kundi wakosekane wanawake mia kweli inaingia akilini mkuu?
 
Leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!

JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?

Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta nini!
 
Leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Huu utitiri wa mada sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua.

Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii!

View attachment 3644282
Kaka Mimi niliwahi kuwaona tu niliwaona zenji si bara, namwambia mtu sijawahi ona Mzee, ana bishaa inatia hasira Sana kama wapo ndio wapo mi sijawahi waona, tofauti na gwajima labda ambae anajulikana
 
Nimeona Kuna mijadala humu kuhusu jamii forum kuwa na warembo, binafsi Mimi nilisha wahi pata bahati ya kuwaona na nikawachunguza na wakanijua japo sikutaja I'd yangu nawao hawakunitajia I'd zao sijui kwanini.

1. Haka ni katoto, siata asee alafu mkali balaa nilitaka kumtongoza akanichukia ghafla akakata mazoea mpaka akasepa badae tulipo kutana hapohapo ndo stori tena zikaanza.
JF hakuna mnyonge! Kila MTU pisi Kali tajiri.
 
Leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!

JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Huu utitiri wa mada sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua.

Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta nini!

View attachment 3644282

Hii comment yako iwekewe lamination.
 
Back
Top Bottom