JF ina pisi Kali, kuna niliowaona Kwa macho yangu, sijawahi kutana na Mzee

Leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!

JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?

Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta nini!

View attachment 3644282
Huyo leo dada ni nani mpaka andiko lake litumike kama rejea ya kuhitimisha mjadala? Wewe umeshakutana hata na 50% wa jf members wa kike wote kiasi cha kusema wanaosema kuna pisi mbovu ni vivulana vyenye perceptions za kipumbavu. Hauoni kama wewe na hao unaowashambulia wote mna perceptions za kufikirika tu maana wote hamna supportive evidence.

Pisi kali zipo na pisi mbovu zipo. Ombaomba wapo na wasio onbaomba wapo. Wadada wa makamo wapo na mashangazi wapo.

Simps like you, you're very gradually becoming the weapon fashioned against men. You're the ones so obsessed with fitting into "the real man" mold that feminists made for you. Society empowering women to be bullies and teach men being bullied by a woman is what makes a real man. But simps you are too dump to understand.

Women reject and insult men for income, height, education, status, baldness, ambition, social class and even fashion sense. But when a man reject a woman suddenly you starts pretending to be morally superior.

If we normalized women to bully men, we should normalize men to bully women also.
 
leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!

JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?

Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta
 
Naona wavulana wame ku koti na maelezo marefu kama cv ya kuombea kibarua posta.
 
leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!

JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?

Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta
Hauna akili
 
Huu uzi watu wana makasiriko 😹😹

Mkimbishia OP mbishe kwa fact sio mnakataa na evidence hamna..!!

Mfano; Humu hakuna mademu wazee, mimi nilikutana na Lamomy na picha yake ni hii..!!

Au; Humu kuna mademu wazee, mimi nilikutana na Lamomy na picha yake ni hii..!!

Sasa kumkatalia OP maelezo yake na shuhuda zake huo ni utaahira. Yeye ndiye alikutana nao. Uliokutana nao wewe sio aliokutana nao yeye..!!

Msichoelewa hapo nini?
 
Asante sana lamomy umenisaidia sana, kuwaelewesha hawa great thinkers wa mchongo, nimeawaambia sija kataa kua humu Kuna wazee ila mi sijawaona live, nilio waona ni mabinti na madada tu, nikaendelea mmama nae mjua ni gwajima huyu waziri, wamama wengine bado sijaona nao, wao wanabisha dah
 
Back
Top Bottom