Leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!
JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?
Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta nini!
View attachment 3644282