Hakuna mabinti hum mkuu acha kupotosha uma. We unguja hii uko wapi sahiv nije mmAcha ubishi bhasi, mambo ya ksnge nije nikudanganye ili? Sijasema wote ni mabinti nimesema sikuwahi kutana na Mzee simanishi hawapo, alafu akili tu ya kawaida Kwa siku jamii forum inapitiwa mpaka na watu elfu 15 hivi Hilo kundi wakosekane wanawake mia kweli inaingia akilini mkuu?
Mfano huyu dada wa kampuni ya kuzalisha mkaa Hadi akaunti Instagram naifahamu,Tangu lini humu JF mada za warembo hazisindikizwi na picha?
Basi hakuna mkuuHakuna mabinti hum mkuu acha kupotosha uma. We unguja hii uko wapi sahiv nije mm
Acha kelele nying mkuu mm niko kusini huku naelekekea kizimkazi dimbani. Wew uko wapi nikitoka nije huko ulipoKaka Mimi niliwahi kuwaona tu niliwaona zenji si bara, namwambia mtu sijawahi ona Mzee, ana bishaa inatia hasira Sana kama wapo ndio wapo mi sijawahi waona, tofauti na gwajima labda ambae anajulikana
hehe...Leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!
JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?
Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta nini!
View attachment 3644282
Niliwafuma unaelewa Nini mana ya kumfuma mtu, alafu jf ni Siri we ni mtoto wa elfu mbili? Nimewafuma unaelewa Nini mana ya kumfuma mtu? Ndo nikaanza stori huwezi palamia mtu from no where ukamuuliza we ni member wa jfHii imagination yako iko kiwango cha juu sana. Yaani umekutana na warembo watano tofauti, wote ni wanachama wa JF, na wote wakaficha ID zao lakini wakakuambia wamo humu? Hii chai imechemka kuliko kawaida.
Kausha basi mkuuAcha kelele nying mkuu mm niko kusini huku naelekekea kizimkazi dimbani. Wew uko wapi nikitoka nije huko ulipo
Acha uongo, humu ndani wote siyo watoto kama wewe, maelezo yako hata mtoto mdogo tu akisoma anajua umetunga.Niliwafuma unaelewa Nini mana ya kumfuma mtu, alafu jf ni Siri we ni mtoto wa elfu mbili? Nimewafuma unaelewa Nini mana ya kumfuma mtu? Ndo nikaanza stori huwezi palamia mtu from no where ukamuuliza we ni member wa jf
mkuu sija Tunga nilicho zungumza nicha ukweli wao wanajua wakisoma hapa watajua, mfano yule mwenye kampuni ya mkaa huyu Hadi insta akaunti yake naifahamu, na ninajua hata sasa kaposti Nini kama nikitaka kumfatiliaAcha uongo, humu ndani wote siyo watoto kama wewe, maelezo yako hata mtoto mdogo tu akisoma anajua umetunga.
Aisee! Basi sawa Mkuu.mkuu sija Tunga nilicho zungumza nicha ukweli wao wanajua wakisoma hapa watajua, mfano yule mwenye kampuni ya mkaa huyu Hadi insta akaunti yake naifahamu, na ninajua hata sasa kaposti Nini kama nikitaka kumfatilia
Ndivyo ilivyo. Wote JF pisi Kali, matajiri.Sija kataa, hawa nao wasema Nisha waona live bila chenga sio wakusimuliwa nimewaona tena mpaka kuongea nao wakakili mpaka na member wakanitajia mfano humu star ambae alitajwa sana ni mshana jr
Ehhhe mkuu usiwe una bisha Kwa kufata mihemko, sisi sio watoto, hao niliowataja na uhakika nao, wale ambao sijawataja, sikua na hakika ndo mana sija watajaAisee! Basi sawa Mkuu.
Anauza au ananunua?Hili ni tangazo la biashara
Hawa waduanzi wengi jinsia zao ni KE/MEAnauza au ananunua?
Sasa kama hawapo jamii forum mshana jr, min mee, Binti wa zamani hao wame wajuaje?Hii imagination yako iko kiwango cha juu sana. Yaani umekutana na warembo watano tofauti, wote ni wanachama wa JF, na wote wakaficha ID zao lakini wakakuambia wamo humu? Hii chai imechemka kuliko kawaida.
Kuna sehemu nimesema hawapo kabisa?Sasa kama hawapo jamii forum mshana jr, min mee, Binti wa zamani hao wame wajuaje?