Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Huyo leo dada ni nani mpaka andiko lake litumike kama rejea ya kuhitimisha mjadala? Wewe umeshakutana hata na 50% wa jf members wa kike wote kiasi cha kusema wanaosema kuna pisi mbovu ni vivulana vyenye perceptions za kipumbavu. Hauoni kama wewe na hao unaowashambulia wote mna perceptions za kufikirika tu maana wote hamna supportive evidence.Leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!
JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?
Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta nini!
View attachment 3644282
Kwamba alipo mshana au min me na wewe upo ?Sasa kama hawapo jamii forum mshana jr, min mee, Binti wa zamani hao wame wajuaje?
leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!Huyo leo dada ni nani mpaka andiko lake litumike kama rejea ya kuhitimisha mjadala? Wewe umeshakutana hata na 50% wa jf members wa kike wote kiasi cha kusema wanaosema kuna pisi mbovu ni vivulana vyenye perceptions za kipumbavu. Hauoni kama wewe na hao unaowashambulia wote mna perceptions za kufikirika tu maana wote hamna supportive evidence.
Pisi kali zipo na pisi mbovu zipo. Ombaomba wapo na wasio onbaomba wapo. Wadada wa makamo wapo na mashangazi wapo.
Simps like you, you're very gradually becoming the weapon fashioned against men. You're the ones so obsessed with fitting into "the real man" mold that feminists made for you. Society empowering women to be bullies and teach men being bullied by a woman is what makes a real man. But simps you are too dump to understand.
Women reject and insult men for income, height, education, status, baldness, ambition, social class and even fashion sense. But when a man reject a woman suddenly you starts pretending to be morally superior.
If we normalized women to bully men, we should normalize men to bully women also.
leo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!
JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?
Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta
We jauBasi hakuna mkuu
Hauna akilileo dada kawapa code mahali fulani. You boys talk too much. Watu wameoana humu. Watu wamechumbiana humu. Watu wamepata marafiki wa kweli wakaweza kubadilishwa tabia na kuwa watu bora humu. Watu wanakulana humu - kimya kimya!
JF ni sehemu ya jamii na inaakisi uhalisia wa jamii ulivyo. Hii perception sijui JF ina pisi mbovu kishenzi, pisi zilizozeeka, sijui omba omba...ni mada zinazoanzishwa na vivulana vipumbavu tu visivyojitambua. Ina maana pisi mbovu, zilizozeeka na omba omba ndo zilikaa zikajikusanya ndo zikajiunga JF? Na ni nani anayeamua kuwa hii pisi ni mbovu?
Yeah! Kuwa tu mwendapole and you will meet some of the brightest, most beautiful and best human beings here. JF ni sehemu ya jamii na kila kitu kiko hapa. Inategemea tu unatafuta
We nawe toka ukutane na kibibi basi umejawa sukari ukiona watu wanasifia pisi zao..!! 😹Maamae! Jamii forum hii upate chuchu konzi? Niko nimekaa pale!... we mtu hata bapa la konyagi zima lile na halewi huyo dem kweli?
nini kusema ni uongoKuna sehemu nimesema hawapo kabisa?
Misogynistic imbecile! 🚮🚮🚮Hauna akili
Elewa basi namanisha hao madada niliomba wanitajie members wanao wakubali, wakatajwa hao , hao ndo wametajwa sana hasa mshana jr, Kwa hiyo walioteaKwamba alipo mshana au min me na wewe upo ?
Idadi ya wanawake humu ni ndogo sana.ULIKUA una Manisha
nini kusema ni uongo
Unazingua sana unabisha kitu usicho kijua umenishangaza sanaWe jau
Sidhani kama al-kasusu hunywewa kinyonge hivyo.
Hakuna we ulibisha sija waona hao madada wa jf mbona una badilika sasa hiviIdadi ya wanawake humu ni ndogo sana.
Asante sana lamomy umenisaidia sana, kuwaelewesha hawa great thinkers wa mchongo, nimeawaambia sija kataa kua humu Kuna wazee ila mi sijawaona live, nilio waona ni mabinti na madada tu, nikaendelea mmama nae mjua ni gwajima huyu waziri, wamama wengine bado sijaona nao, wao wanabisha dahHuu uzi watu wana makasiriko 😹😹
Mkimbishia OP mbishe kwa fact sio mnakataa na evidence hamna..!!
Mfano; Humu hakuna mademu wazee, mimi nilikutana na Lamomy na picha yake ni hii..!!
Au; Humu kuna mademu wazee, mimi nilikutana na Lamomy na picha yake ni hii..!!
Sasa kumkatalia OP maelezo yake na shuhuda zake huo ni utaahira. Yeye ndiye alikutana nao. Uliokutana nao wewe sio aliokutana nao yeye..!!
Msichoelewa hapo nini?
Yamoto sana aisee
Kukubishia kuhusu hao unaowaongelea wewe sijamaanisha kuwa ndio hakuna wanawake humu ndani.Hakuna we ulibisha sija waona hao madada wa jf mbona una badilika sasa hivi
Na ni yamoto sanaHii imagination yako iko kiwango cha juu sana. Yaani umekutana na warembo watano tofauti, wote ni wanachama wa JF, na wote wakaficha ID zao lakini wakakuambia wamo humu? Hii chai imechemka kuliko kawaida.