JF ina pisi Kali, kuna niliowaona Kwa macho yangu, sijawahi kutana na Mzee

Waendelee kutoamini kikubwa hainifanyi mimi kutokuwa Mdada mrembo.
Kama hudaiwi,hutukani serikali unafake nini sasa?

Humu wanaamini wao walivyopigika na kuchapika basi wanataka tufanane nao!!!!!!
Na uzuri hela za kuhonga hawana we bakia na uzuri wako wanaojua wajifaidie huko huko wasikupe presha hawa waja wa max
 
 
Na ni yamoto sana
KUWENI na akili basi, hatukuanza kuulizana tu, tuliKua na mambo mengine, katika pitapita nikagundua Hilo na nilipo piga nao stori wakakibali na members waliotajwa sana ni mshana jr, sasa wamemjuaje au min mee, kajulika a vipi? Acheni wivu na husda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ