Jf inatisha: Kuna member wawili maarufu walikuwa hotelini week nzima wakijunjana chiii!

Hahahhahahahahha alafu unanisingizia mm mwenyewe mtoa code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyotoa tu baadhi ya hizo code # upande wa nyanda za juu kusini. Fasta nikatuma wawakirishi upande wa ving'amuzi vya code,bila shida tukakuona wewe umevua hii nyingine hii umeweka pembeni. Na huyo mchawi. Hotel nayo tumeisoma. Nitawatembelea baadae
 
Mimi nafuata tu upepo dada yangu, sitaki kumaliza nguvu hizi kiduchu kwa kufungua code, nitakosa za kusimama kwenye daladala maana nataka nikale bata huko mjini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kibantu
 
Hapa tatizo sio wao kunjunjana..[emoji30][emoji30]tatizo ni kutowatambua Aiseee kichwa kizito zaidi ya 300kg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…