Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Halikumkifu?au mlikula woteTulikua tunaingia jikon usiku tunapika wali siku tuliyodakwa na anko hatukua na namna zaidi ya kumkaribisha hadi tunaondoka alitupa kazi ya kumpikia pilau kila usiku hadi namaliza six sitosahau uroho .... Na ulafi jaman dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ndio umejificha kwakweli, mie nimejaa tele na mama mchungaji, kama namuona Heaven Sent anavyomfanyia maombi MO11 asimkengeushe mama yake.
BTW nimekumisimo acha tu.
Beira kipindi hicho hjaanza shule [emoji23][emoji23][emoji23]Daftari langu hilo moja ningekua nampa Beira Boy alibebe
Heaven Sent ashindwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ndio umejificha kwakweli, mie nimejaa tele na mama mchungaji, kama namuona Heaven Sent anavyomfanyia maombi MO11 asimkengeushe mama yake.
BTW nimekumisimo acha tu.
Kwakweli bado ananyonya.Beira kipindi hicho hjaanza shule [emoji23][emoji23][emoji23]
Ameeen!Heaven Sent ashindwe
Hahahaaaa!!! Yaani fire kwenye utamu wangu we mtoto si unataka laana!! Au hautaki baba wewe!
Heaven Sent ashindwe
Kwa tuliosoma Seminary hizo hazikuwepo pale mezani usiposhiba ndio utajua mwenyewe. Uzuri mimi ndio nilikua Messi Officer tusiposhiba tukienda prepo tunasoma tunaingia compereto tukitoka tunaingia store kula mikate na maziwa na washkaji. Tulikuwa tunaiita hii tabia "usiku wa habari" ile ya yule mteuliwa [emoji23] [emoji23]Unawahi kwenye foleni unahakikisha upo top ten, ukipata share ya kwanza unapiga kwa dakika 5 unaenda kuosha sahani unapanga mstari tena
Inaathiri ila sio kwa kiasi cha kudumu, baada ya kutoka shule anapata tabu kidogo ila baadae anajichanganya tu kama kawaida! Shule za bweni zinamjenga mtoto uwezo wa kujitegemea....usimnyime nafasi ya kuexperience hayo maisha.
Weee hujaniona huko juu
KabisaKwakweli bado ananyonya.
nikuachie wanipore au wakuporeYaani kunibana hivyo ili ugundue nini?
kwetu walikua wanapenda matatizo ili mzee aende shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeeh!! Nyumbani wangenitengua kiuno haki tena. Maana unaambiwa ukilikoroga shule ulinywe mwenyewe na wasijue. Hivyo ningekukataa walah japo nakupenda[emoji85] [emoji85]
Nilikuwa sijakuona kabla ya kupitia pages...
Eti nikaku picture unavyo tupa maneno ya busara baada ya prep ya saa moja na nusu usiku kule shuleni...lol
Sie mabweni yalikuwa yanafungwa na na viranja wa mabweni sasa mmoja alikuwa rafiki yetu ikifka siku hatutaki kwenda class anatufungia nje na kufuli tunalala weee ikitokea msala tunaingia kwenye malocker tunafungiwa na makufuli ,ukiliona loka ni dogo unakaa style mpaka unatoshaa,wakichelewa kukufungulia unatoka humo hoiiiiiiKudoj prepo
Mie nakwambia vizurii uniamshe, njoo kuniamsha sasa nitakavyokugeuka hutaamini majicho yako.umenikumbusha mbali wakati wa exam, tulikua tuna hamshana usiku ili tusome,basi mie nawaambia kabisa Rafiki zangu niamshe saa flani nisome,wakija kuniamsha hio saa nawaambia niamshe baada ya lisaa limoja,akija tena namwambia tena niamshe baada ya lisaa limoja,usiku mzima unakua ndio mchezo huo,asubuhi inafika sijasoma hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hawakosekanagi wamama wachungaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa sijakuona kabla ya kupitia pages...
Eti nikaku picture unavyo tupa maneno ya busara baada ya prep ya saa moja na nusu usiku kule shuleni...lol
watu eeeeeeeeeeeeeeeeehhAmeeen!