U-asha kisomo nilikuwa si haba teh
Kitu ambacho sikuwahi kukielewa ni kwamba levels zote nilizozisoma, baada ya muda kupita nimeanza kuzoeana na watu, majority walikuwa wananiambia hawakutegemea kama ntamaliza shule salama bila kufukuzwa au supp/disco chuo. Sura yangu imekaa kimatukio matukio sana eti,so they were expecting the worst from me. Mwisho wa siku nilijikuta nina marafiki wengi mnoo, baada ya wengi kuona I was different from mtu waliyekuwa wanamuwazia. Na hata leo baadhi ya watu wananionaga nimeshindikana mweeh.
Kanisani nilikuwa yule kiongozi mcharuko. Wapendwa wote wanasalimiana kipendwa, mimi sometimes nilikuwa naitikia "pouwah " mweeh. Baadaye ndo nikaja kuzoea sasa (aibu naona mimi)