JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

ngoja aje" Wick mkuu kwahiyo huyu shunie ndio umenipora hivi hivi aisee" wallahi next weekend nakwenda bagamoyo kuna mzee katoka kigoma nasikia anauza radi
Hujui tu nilivyojilipua mpaka kupata toto ghali kama Shunie!.. We kaa nyuma nyuma kama fisi nitakapo chokea vamia kama fox mzee!..
Toto ghali hili balaa!!..
 
kitambo " nilikuwaga nakunyapia nyapia" huku nakusifia tukikutana na Wick kwenye sehemu zetu za kula bata now naona kaamua kufanya kweli".... uwiiiii" nitaiweka wapi sura yangu mimi
Kizuri kula na wenzio usije kuimaanisha kwa Shunie tu!.. Kwingine kote tuifanyee sio hapo! 🙂
 
Hujui tu nilivyojilipua mpaka kupata toto ghali kama Shunie!.. We kaa nyuma nyuma kama fisi nitakapo chokea vamia kama fox mzee!..
Toto ghali hili balaa!!..
usiniambie" hahaaa naona hata ule ujenzi wako" wa nyumba umeusitisha" ndugu yangu ukifilisika" Mimi nitakucheka tu" ... hakuna namna
 
Tatizo hukai na mabro wa Advance kina Malcom unakaa na wahuni wapenda music kina chige unategemea nn!, mwenzio nateleza tu!.[emoji23]
hahahaaa acha nikae tu nakina chige wewe TO kumpata huyo mtoto umebahatisha" tu hao sisi ndio asali yao soon twakupora aiseee" angalia mtihani wa form six unakuja huo usije uka disco tu" na yule mzee wako alivyokuwa mtata" jiandae mapema kutafuta pakukimbilia
 
Hapana tatizo wanafunzi wakishasikia mfuko wa nylon unalia basi uwo mstari ni either ugawe mazagazaga hadi yaishe au ugawe kwa marafiki.....

Nakumbuka locker langu lilikua na solex kubwa ila wahuni walifanikiwa kuchonga funguo ya mbao wakawa wanalitombesha kwa hiyo tukawa tunagawana na wao.....

Nakumbuka nilikua nikitoka darasa ule muda wa uji nakuta punjepunje za sukari ziko chini nasema hapa wahuni washafanya yao nilikuwa nakwazika sema ndio hivyo....
Balaa!kuna mmoja alikua mchoyo wakaingia ndani ya locker wakatawanya kila kilichomo mule ndani [emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]alijutraa
 
Back
Top Bottom