Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Uncle wako handsome, seme imechukua kwa babu mzaa babu yako.Yani na pozi zangu zote za upole, watu bado wananiona nimeshindikana. Hii sura ya mjomba teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uncle wako handsome, seme imechukua kwa babu mzaa babu yako.Yani na pozi zangu zote za upole, watu bado wananiona nimeshindikana. Hii sura ya mjomba teh
Umefurahi eeh ... Haya usiku mwema ...Ahahahhaha
Daaah naogopa maana noti hazijaanza kuingia mfukoniiMbona ushaanza....au zile late nights umesahau?
Hujui tu nilivyojilipua mpaka kupata toto ghali kama Shunie!.. We kaa nyuma nyuma kama fisi nitakapo chokea vamia kama fox mzee!..ngoja aje" Wick mkuu kwahiyo huyu shunie ndio umenipora hivi hivi aisee" wallahi next weekend nakwenda bagamoyo kuna mzee katoka kigoma nasikia anauza radi
Hahahahaaaabebe nipo huku nyuma ya darasa nilikua melala!..🙂
wewe tena tena wenye mademu. wetu tuanzage kulia tuMe backbencher gendaeka kijana, usiniitie sketi ntazivurugaa!!..
usiniambie" hahaaa naona hata ule ujenzi wako" wa nyumba umeusitisha" ndugu yangu ukifilisika" Mimi nitakucheka tu" ... hakuna namnaHujui tu nilivyojilipua mpaka kupata toto ghali kama Shunie!.. We kaa nyuma nyuma kama fisi nitakapo chokea vamia kama fox mzee!..
Toto ghali hili balaa!!..
mpenda music umeburn cd niazime nikasikilize hosteli!..nina ka walkman kangu kesho nitakuletea ukakasikilize na wewe!.Hahahahaaaa
hahahaaa acha nikae tu nakina chige wewe TO kumpata huyo mtoto umebahatisha" tu hao sisi ndio asali yao soon twakupora aiseee" angalia mtihani wa form six unakuja huo usije uka disco tu" na yule mzee wako alivyokuwa mtata" jiandae mapema kutafuta pakukimbiliaTatizo hukai na mabro wa Advance kina Malcom unakaa na wahuni wapenda music kina chige unategemea nn!, mwenzio nateleza tu!.[emoji23]
Daaah naogopa maana noti hazijaanza kuingia mfukonii
Njoo niko na nyimbo mupyaaaampenda music umeburn cd niazime nikasikilize hosteli!..nina ka walkman kangu kesho nitakuletea ukakasikilize na wewe!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli sijui nani kaniharibia mtoto.
hahaa" humu kuna watu wana visa mnooo madame " vumilia tu" ucheke uongeze siku za kuishi kama wasemavyo wahenga;, bhaaasi
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]maisha ndo yalivyo bila kufake hayaendi!!Mimi nilikuwa mbishi, zangu ni kuchallege kila story anayoileta mtu.
Ila pia nilikuwa cha fujo sana, kelele sana.
Hii JF nashangaa naishi fake fake humu.
Balaa!kuna mmoja alikua mchoyo wakaingia ndani ya locker wakatawanya kila kilichomo mule ndani [emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]alijutraaHapana tatizo wanafunzi wakishasikia mfuko wa nylon unalia basi uwo mstari ni either ugawe mazagazaga hadi yaishe au ugawe kwa marafiki.....
Nakumbuka locker langu lilikua na solex kubwa ila wahuni walifanikiwa kuchonga funguo ya mbao wakawa wanalitombesha kwa hiyo tukawa tunagawana na wao.....
Nakumbuka nilikua nikitoka darasa ule muda wa uji nakuta punjepunje za sukari ziko chini nasema hapa wahuni washafanya yao nilikuwa nakwazika sema ndio hivyo....