JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Tulikua tunaingia jikon usiku tunapika wali siku tuliyodakwa na anko hatukua na namna zaidi ya kumkaribisha hadi tunaondoka alitupa kazi ya kumpikia pilau kila usiku hadi namaliza six sitosahau uroho .... Na ulafi jaman dah
Halikumkifu?au mlikula wote
 
Unawahi kwenye foleni unahakikisha upo top ten, ukipata share ya kwanza unapiga kwa dakika 5 unaenda kuosha sahani unapanga mstari tena
Kwa tuliosoma Seminary hizo hazikuwepo pale mezani usiposhiba ndio utajua mwenyewe. Uzuri mimi ndio nilikua Messi Officer tusiposhiba tukienda prepo tunasoma tunaingia compereto tukitoka tunaingia store kula mikate na maziwa na washkaji. Tulikuwa tunaiita hii tabia "usiku wa habari" ile ya yule mteuliwa [emoji23] [emoji23]
 
Inaathiri ila sio kwa kiasi cha kudumu, baada ya kutoka shule anapata tabu kidogo ila baadae anajichanganya tu kama kawaida! Shule za bweni zinamjenga mtoto uwezo wa kujitegemea....usimnyime nafasi ya kuexperience hayo maisha.

ni kweli usemayo mkuu,ila naamini hata wale wanaosoma Day pia wanajifunza hussles za kila siku,infact wanajifunza in natural setting,kuanzia kupigana na usafiri,kusoma,na kazi za nyumbani unlike boarding ina limit mtu kuexplore opportunities,na shule zile strict zinaweza sababisha depression,kumuachia mtoto miezi sita ni kumuumiza msinipopoe lol.. mie ndio naona hivyo..labda zile shule zinazotoa holiday fupi...sio miezi sita.
 
Yaani kunibana hivyo ili ugundue nini?
nikuachie wanipore au wakupore
nisingekubali kitokee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeeh!! Nyumbani wangenitengua kiuno haki tena. Maana unaambiwa ukilikoroga shule ulinywe mwenyewe na wasijue. Hivyo ningekukataa walah japo nakupenda[emoji85] [emoji85]
kwetu walikua wanapenda matatizo ili mzee aende shule
yaani tungeenda na mzee tu kila suspaa
 
Kudoj prepo
Sie mabweni yalikuwa yanafungwa na na viranja wa mabweni sasa mmoja alikuwa rafiki yetu ikifka siku hatutaki kwenda class anatufungia nje na kufuli tunalala weee ikitokea msala tunaingia kwenye malocker tunafungiwa na makufuli ,ukiliona loka ni dogo unakaa style mpaka unatoshaa,wakichelewa kukufungulia unatoka humo hoiiiiii
 
umenikumbusha mbali wakati wa exam, tulikua tuna hamshana usiku ili tusome,basi mie nawaambia kabisa Rafiki zangu niamshe saa flani nisome,wakija kuniamsha hio saa nawaambia niamshe baada ya lisaa limoja,akija tena namwambia tena niamshe baada ya lisaa limoja,usiku mzima unakua ndio mchezo huo,asubuhi inafika sijasoma hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mie nakwambia vizurii uniamshe, njoo kuniamsha sasa nitakavyokugeuka hutaamini majicho yako.
 
Back
Top Bottom