JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Watu tulikuwa tunatumia vindoo vidogo vile vya sabuni za unga [VISADO" au makopo yale ya peanut butter tulikuwa tunayaita "BANGALA"....

Yaani ukimaliza uji hapo vipindi vyote vinavyofuata hapo baada ya breaktime ni usingizi wa kufa mtu aisee....
Uji ulinishindaa aisee kusoma kote hukoo!hapana nilikua nakunywa chai au napiga ndefu!
 
Yaan mi hata nilale siku nzima ,wengine hukosa usingizi lakin mi ikifika saa 4 usiku kama sina mtoko nalala usingizi kamwee


Umenikumbusha dada mmoja, jamani alikuwa analala. Hata sijui alikuwa na tatizo gani.
Yaani yeye usiku ni kulala mapema. Halafu mkifika darasani napo, tulikuwa tunampa 15 minutes za mwanzo.
Baada ya hapo muda wote ni kusinzia darasani kwa kwenda mbele mpaka darasa linaisha. Mpaka tukamtunga jina the sleepy girl.
 
usiniambie" hahaaa naona hata ule ujenzi wako" wa nyumba umeusitisha" ndugu yangu ukifilisika" Mimi nitakucheka tu" ... hakuna namna
aahh mwanamke mbovu na ghorofa zuri sawa na tindi la Demiss kwenye kivtz!..
(hata sijui nilichomaanisha😉)
 
Uji ulinishindaa aisee kusoma kote hukoo!hapana nilikua nakunywa chai au napiga ndefu!
Siku nafuata uji nikaungua.. kuanzia hapo nikaachana nao. Kwanza nilikua nikinywa halafu aingie mwalimu wa Physics nalala mpaka nasahau kama niko darasani
 
Na alipokamatwa akaamua kujifukuzisha shule mwenyewe bila shuruti kuogopa kichapo cha wanafunzi wenye hasira kali wakiongozwa na humble african ...kiranja wa usafi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji23] hapana loo
 
Tulikua tunaingia jikon usiku tunapika wali siku tuliyodakwa na anko hatukua na namna zaidi ya kumkaribisha hadi tunaondoka alitupa kazi ya kumpikia pilau kila usiku hadi namaliza six sitosahau uroho .... Na ulafi jaman dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha wale Wapishi!!
 
ntakutana nako diploma, kwa akili ya kawaida kabisa mtoto mzuri kama huyu atatoboa Necta!?.. Hawa wa kuanza Diploma hakajajua tu!!..
 
Nakataaa sio wewee!umehakiwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…