JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!


Dah kwenye kulala kuna jamaa nilikuwa mkienda prep dakika kumi tu amesinzia, tukimwambia anabisha, anasema alikuwa ana think. Ikawa tunafunua page kama kumi kwenye anachosoma, akishtuka anazuga kuendelea page ya mbele kama vile amemaliza hii.

Siku moja mimi na jamaa hivi tulimzungushia viti na meza, vingine tunavipanga kwa juu hivi kumzunguka, tukazima Umeme tukaondoka. Mpaka tunamaliza term hakuwahi kusomea kile chumba wala kutuuliza.
 
Me too luv u!thanx msongo wangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Boarding hapana kwa kweli mi pia sitaki
 


Mbavu zangu Mweeh! 😀😀😀😀😀

Eti alikuwa ana think!...😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…