Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Tukitoka uwanjani basiiisaa 10 jioni rudi darasani tusikilize wote, hakuwagi na watu form 3 C kule!..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukitoka uwanjani basiiisaa 10 jioni rudi darasani tusikilize wote, hakuwagi na watu form 3 C kule!..
naomba nije pm mkuuNomaa sanaa!wapo wengi sana hao
Umenikumbusha dada mmoja, jamani alikuwa analala. Hata sijui alikuwa na tatizo gani.
Yaani yeye usiku ni kulala mapema. Halafu mkifika darasani napo, tulikuwa tunampa 15 minutes za mwanzo.
Baada ya hapo muda wote ni kusinzia darasani kwa kwenda mbele mpaka darasa linaisha. Mpaka tukamtunga jina the sleepy girl.
Woooow!!Napenda tuzichange wenyewe kwanza....nikisema nikusubirie watakuiba....
Me too luv u!thanx msongo wangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Awww!, jamani Rey...
I appriciate my dear, this's so kind of You!
Lakini ndo tunaendelea kujifunza hapa JF.
Halafu jamani siku ile kwenye ile thread ya mheshimiwa Shy..,niliona salamu zako.
Kuja kurudisha majibu then nikaondoka kidogo, kurudi nakuta kumbe mods walipita na wakaamua kujibebea baadhi ya comments na kuondoka nazo. Zile ambazo zilikuwa S.explicit sawa, lakini jamani mpaka za salamu?!
Anywayz...I love you back giiiirl! 🙂
aaah sana tuKila siku mnasemwaaa!ofisini nyie na mapenzi yenu!
Love you back Da'VinciWoooow!!
What a brilliant woman you're!!
That's why i love you my Doc bbade
❤❤❤Love you back Da'Vinci
Boarding hapana kwa kweli mi pia sitakiila kiukweli nikijaliwa kuwa na mtoto sitampeleka boarding,lol japokua kuna experience nzuri na mbaya,mwanangu hapana,sitaki awe traumatized for life...nataka niwe na monitor his/her progress as she/he is growing ….umeona wale waliosoma shule za wasichana tupu au kiume tupu especially za kidini,mfano mtu wa Maua Seminary anavyo behave mbele ya watu(wasichana)..LOL
Dah kwenye kulala kuna jamaa nilikuwa mkienda prep dakika kumi tu amesinzia, tukimwambia anabisha, anasema alikuwa ana think. Ikawa tunafunua page kama kumi kwenye anachosoma, akishtuka anazuga kuendelea page ya mbele kama vile amemaliza hii.
Siku moja mimi na jamaa hivi tulimzungushia viti na meza, vingine tunavipanga kwa juu hivi kumzunguka, tukazima Umeme tukaondoka. Mpaka tunamaliza term hakuwahi kusomea kile chumba wala kutuuliza.