Naona ulikuwa unanipiga Majungu ya aibu.
Mimi nikiambiwa nirudi narudi kwa moyo mmoja. Maana simu ntatumia msosi mzuri ntakula na kila weekend narudi homeIla hakuna kitu kinakera kama kwenda darasani asubuhi huwa kuna baridi jamani ,sisi kulikuwa na upepo ,mi mtu akiniambia nirudi sec.sirudi aisee
Ulikua umeshindikana...Enzi nikiwa nasoma , mabweni yote yalikuwa yananiita DADA yaani. Nilikuwa nachamba, nasuta acha kabisa. Ukija kushtakiwa kwangu huna bahati.
Cha ajabu siku hizi nimekuwa mpole sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona ulikuwa unanipiga Majungu ya aibu.
Njoo tifanye kweli basi
khaaa.... Kwa hiyo umeniita hapa kweli kuniaibisha mbele za watu? Mungu atanilipia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile maneno mengiiii kutongoza huwezi, basi unaishia kula kwa macho tu. Hata nikikupa hautoweza.
Upole kwakweli mwanangu hauna kabisaaa, ni vile watu hawakuelewi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila pia sio mkorofi but una misimamo na unajitambua. Unajua watu wenye misimamo yao huwa wanaonekana watataaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzidi mimi[emoji87][emoji87][emoji87][emoji24][emoji24][emoji24]Mimi natamani maana nilikuwa naogopwa kwa ununda alafu najulikana kama Tajiri wa Shule nzimaa kifupi nilikuwa Star yani nafahamika kuanzia form 1 mpaka 6 na nilkuwa na mpenzi handsome shule nzimaa acha kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umemzidKuzidi mimi[emoji87][emoji87][emoji87][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent ππ na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.
Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent ππ na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.
Ewaa Hajar ningekua najichanganya kila mahali, kwenye wasomi wa kijiji nimo, kwenye simba wenda pole nimo basi ilimradi waalimu hawakuelewiπππ
πππHalafu unauchuna kimyaaa kama sio wewee!!!vile yaani wavivu wako radhi wakojoe kwenye kopo badala ya chooni!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji3]
Hebu ilete kama uzi mkuuπππSitasahau nikiwa form five nilivyomla madam wa zamu
HahahaaaaMimi nilikuwa bingwa wa kuanua mashati ya watu kwenye kamba ...Sikuwa na muda wa kufua shati jeupe la shule
Pia ningekuwa Pusha
Tungekuwa pamojaSijaona watu/vinara wakupiga double share(addition) ya chakula kuanzia uji, wali, ugali na makande.
Hapa usingenikosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wala vimbelembelee!Wale!!wewe doja wa shulee!!mpk siku ya mtihaninmetafuta jina langu lakn sijaliona, itakuwa me mtoro au ndo yule kiherehere wa walimu muda wote nko ofisin