JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Wale Joni visomo wa debate wasingekosekana...
Why education is better than money
My name is ngabu I come from form one B
Education is better than money because if you get educated sorry I repeat again [emoji87][emoji23]... If you get education you can use zat education to find a job, and after getting zat job you get money which can help you buy many many sings... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ulikuwa unanipiga Majungu ya aibu.

Njoo tifanye kweli basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile maneno mengiiii kutongoza huwezi, basi unaishia kula kwa macho tu. Hata nikikupa hautoweza.
 
Mimi natamani maana nilikuwa naogopwa kwa ununda alafu najulikana kama Tajiri wa Shule nzimaa kifupi nilikuwa Star yani nafahamika kuanzia form 1 mpaka 6 na nilkuwa na mpenzi handsome shule nzimaa acha kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh kwa kweli na huu unyaki unanifichia kabisa upole wangu
Upole kwakweli mwanangu hauna kabisaaa, ni vile watu hawakuelewi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila pia sio mkorofi but una misimamo na unajitambua. Unajua watu wenye misimamo yao huwa wanaonekana watataaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my SM-N920C using Tapatalk
 
Mimi natamani maana nilikuwa naogopwa kwa ununda alafu najulikana kama Tajiri wa Shule nzimaa kifupi nilikuwa Star yani nafahamika kuanzia form 1 mpaka 6 na nilkuwa na mpenzi handsome shule nzimaa acha kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzidi mimi[emoji87][emoji87][emoji87][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent 🙈🙈 na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.

Pia umewasahau wale wazee wa kujichanganya yaani kila sehemu wao twende sidhani kama hizi namba zingekosekana Sesten Zakazaka , mbalizi1 1kush africa, Mr Miller na Mwifwa.
Uuwiii. Tungepata tabu sana sie viwanafunzi vikimya ila kwenye ambavyo vingenishinda darasani ningekuwa nakimbilia kwa Mama mchungaji Aunt Heaven Sent 🙈🙈 na najua nikifika pale na vimaswali vyangu lazima animezeshe vitu basi najua maisha yangekuwa barabara kabisa mpaka mwisho.
Ewaa Hajar ningekua najichanganya kila mahali, kwenye wasomi wa kijiji nimo, kwenye simba wenda pole nimo basi ilimradi waalimu hawakuelewi😀😀😀
 
nmetafuta jina langu lakn sijaliona, itakuwa me mtoro au ndo yule kiherehere wa walimu muda wote nko ofisin
[emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wala vimbelembelee!Wale!!wewe doja wa shulee!!mpk siku ya mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom