JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] NN na Kiranga wazeee wa debate!! Nimechekaaa balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa matron wetu alikuwa anakagua ndio anafunga ila alikuwa hakuti mtu, kuna watu walikuwa wanakuja school na mabegi makubwa ukiingia humo huonekani, aiseee yalitukoma mabegi yale. Maana n mwendo wa kutoa mavitu kuweka mvunguni alafu wenyew ndan ya begi. Siku ukikosa begi jiandae kwenda prepo hahaaa
 
Mama sabrina umetisha kwa habari hizo za kufungiwa kwenye locker wakati wa prepo.

Ila maisha ya boarding yana raha yake.
Natamani ungeona hilo kabati lina sehemu nne kila mtu anapewa upande mmoja mmoja ili kuweka vitu vyako,unaingia kwa kutanguliza mguu kule yaan unapanua mapaja na unaingia na chupi na bra ili usibanane sanaa na ujichanue vyema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kalikuwa ni kazoezi nakuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi watu walikuwa wanajificha hadi kwenye deka juu kama mwembamba lakin analala na haonekaniiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hukai na mabro wa Advance kina Malcom unakaa na wahuni wapenda music kina chige unategemea nn!, mwenzio nateleza tu!.[emoji23]
Watoto wa kihuni na tunamega kihuni vilevile... tena enzi hizo; ujiko gani uliokuwa unahitaji zaidi ya mic na michano ya ki-gangster?! Mungu bhana, cjui kwanini tunazeeka, I miss those old days na michano ya Kinyamwezi... au sijui niwe kama Le Mutuz tu!!!!!
 
Acha aendelee kukaa na wanoko wenzake akina Malcom Lumumba ambao ambao stori zao, mara oh, Nguni Speaking People... mara sijui Matebele kufanya nini sijui... aaaaaaaargh!!! Wataishia kuji-mix na watoto wa Gisenyi Secondary School!
 
Hahahh!!... nyuma ya daftari kuna michano ya kufa mtu.
 
bwahahaahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…