Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
- Thread starter
- #481
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] NN na Kiranga wazeee wa debate!! Nimechekaaa balaaaWale Joni visomo wa debate wasingekosekana...
Why education is better than money
My name is ngabu I come from form one B
Education is better than money because if you get educated sorry I repeat again [emoji87][emoji23]... If you get education you can use zat education to find a job, and after getting zat job you get money which can help you buy many many sings... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani!! KaaahKuzidi mimi[emoji87][emoji87][emoji87][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaakhaaa.... Kwa hiyo umeniita hapa kweli kuniaibisha mbele za watu? Mungu atanilipia.
Hizo Nzi unanisaidia kuzishika?Hahahaaaaa
Mm naprepo tofautiWewe hapo kabisaaa
Hahaa matron wetu alikuwa anakagua ndio anafunga ila alikuwa hakuti mtu, kuna watu walikuwa wanakuja school na mabegi makubwa ukiingia humo huonekani, aiseee yalitukoma mabegi yale. Maana n mwendo wa kutoa mavitu kuweka mvunguni alafu wenyew ndan ya begi. Siku ukikosa begi jiandae kwenda prepo hahaaaSie mabweni yalikuwa yanafungwa na na viranja wa mabweni sasa mmoja alikuwa rafiki yetu ikifka siku hatutaki kwenda class anatufungia nje na kufuli tunalala weee ikitokea msala tunaingia kwenye malocker tunafungiwa na makufuli ,ukiliona loka ni dogo unakaa style mpaka unatoshaa,wakichelewa kukufungulia unatoka humo hoiiiiii
Natamani ungeona hilo kabati lina sehemu nne kila mtu anapewa upande mmoja mmoja ili kuweka vitu vyako,unaingia kwa kutanguliza mguu kule yaan unapanua mapaja na unaingia na chupi na bra ili usibanane sanaa na ujichanue vyema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kalikuwa ni kazoezi nakuambiaMama sabrina umetisha kwa habari hizo za kufungiwa kwenye locker wakati wa prepo.
Ila maisha ya boarding yana raha yake.
Sisi watu walikuwa wanajificha hadi kwenye deka juu kama mwembamba lakin analala na haonekaniiiiHahaa matron wetu alikuwa anakagua ndio anafunga ila alikuwa hakuti mtu, kuna watu walikuwa wanakuja school na mabegi makubwa ukiingia humo huonekani, aiseee yalitukoma mabegi yale. Maana n mwendo wa kutoa mavitu kuweka mvunguni alafu wenyew ndan ya begi. Siku ukikosa begi jiandae kwenda prepo hahaaa
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Watoto wa kihuni na tunamega kihuni vilevile... tena enzi hizo; ujiko gani uliokuwa unahitaji zaidi ya mic na michano ya ki-gangster?! Mungu bhana, cjui kwanini tunazeeka, I miss those old days na michano ya Kinyamwezi... au sijui niwe kama Le Mutuz tu!!!!!Tatizo hukai na mabro wa Advance kina Malcom unakaa na wahuni wapenda music kina chige unategemea nn!, mwenzio nateleza tu!.[emoji23]
Acha aendelee kukaa na wanoko wenzake akina Malcom Lumumba ambao ambao stori zao, mara oh, Nguni Speaking People... mara sijui Matebele kufanya nini sijui... aaaaaaaargh!!! Wataishia kuji-mix na watoto wa Gisenyi Secondary School!hahahaaa acha nikae tu nakina chige wewe TO kumpata huyo mtoto umebahatisha" tu hao sisi ndio asali yao soon twakupora aiseee" angalia mtihani wa form six unakuja huo usije uka disco tu" na yule mzee wako alivyokuwa mtata" jiandae mapema kutafuta pakukimbilia
Hahahh!!... nyuma ya daftari kuna michano ya kufa mtu.Watoto wa kihuni na tunamega kihuni vilevile... tena enzi hizo; ujiko gani uliokuwa unahitaji zaidi ya mic na michano ya ki-gangster?! Mungu bhana, cjui kwanini tunazeeka, I miss those old days na michano ya Kinyamwezi... au sijui niwe kama Le Mutuz tu!!!!!
bwahahaahahaWatoto wa kihuni na tunamega kihuni vilevile... tena enzi hizo; ujiko gani uliokuwa unahitaji zaidi ya mic na michano ya ki-gangster?! Mungu bhana, cjui kwanini tunazeeka, I miss those old days na michano ya Kinyamwezi... au sijui niwe kama Le Mutuz tu!!!!!
Mi prepo nilikua naendaga TV room tunawasha TV kwa siri matron haoniMm naprepo tofauti