JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

ila kiukweli nikijaliwa kuwa na mtoto sitampeleka boarding,lol japokua kuna experience nzuri na mbaya,mwanangu hapana,sitaki awe traumatized for life...nataka niwe na monitor his/her progress as she/he is growing ….umeona wale waliosoma shule za wasichana tupu au kiume tupu especially za kidini,mfano mtu wa Maua Seminary anavyo behave mbele ya watu(wasichana)..LOL
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi bwana nimesoma gvt ila sasa!!siku za disco wee!maustadhat nakuambia tunawakomaa wanatusemaaa balaa!hatukomii!!tunaenda kama kawaida na vipanchuchu vyetu!
Walikuwa wanataka turuke steji
 
Khaa!, yaani lazima una mchongo mmoja wa nguvu sana, maana sio kwa kujificha huku!
Tugawane basi! 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ndio umejificha kwakweli, mie nimejaa tele na mama mchungaji, kama namuona Heaven Sent anavyomfanyia maombi MO11 asimkengeushe mama yake.

BTW nimekumisimo acha tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waiba nyanya bwana wakakamatwa wakasambazwa mabweni yotee
Ahahahah ,ilikuwa mkikamatwa couple mnaambiwa mshikane mikono mtembee madarasa yote halaf mnaenda kulala juani wewe na mchizi wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi inakuwa story mwezi ,halaf mnawekwa kwenye notice body mnachorwa na picha zenu kuna jamaa alikuwaga mchoraji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awww!, jamani Rey...
I appriciate my dear, this's so kind of You!
Lakini ndo tunaendelea kujifunza hapa JF.

Halafu jamani siku ile kwenye ile thread ya mheshimiwa Shy..,niliona salamu zako.
Kuja kurudisha majibu then nikaondoka kidogo, kurudi nakuta kumbe mods walipita na wakaamua kujibebea baadhi ya comments na kuondoka nazo. Zile ambazo zilikuwa S.explicit sawa, lakini jamani mpaka za salamu?!

Anywayz...I love you back giiiirl! 🙂
Morning speech sina shida nakuja unimezeshe.
 
ila kiukweli nikijaliwa kuwa na mtoto sitampeleka boarding,lol japokua kuna experience nzuri na mbaya,mwanangu hapana,sitaki awe traumatized for life...nataka niwe na monitor his/her progress as she/he is growing ….umeona wale waliosoma shule za wasichana tupu au kiume tupu especially za kidini,mfano mtu wa Maua Seminary anavyo behave mbele ya watu(wasichana)..LOL
Inaathiri ila sio kwa kiasi cha kudumu, baada ya kutoka shule anapata tabu kidogo ila baadae anajichanganya tu kama kawaida! Shule za bweni zinamjenga mtoto uwezo wa kujitegemea....usimnyime nafasi ya kuexperience hayo maisha.
 
tungekuwa tunaenda kwetu hawana noma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeeh!! Nyumbani wangenitengua kiuno haki tena. Maana unaambiwa ukilikoroga shule ulinywe mwenyewe na wasijue. Hivyo ningekukataa walah japo nakupenda[emoji85] [emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi bwana nimesoma gvt ila sasa!!siku za disco wee!maustadhat nakuambia tunawakomaa wanatusemaaa balaa!hatukomii!!tunaenda kama kawaida na vipanchuchu vyetu!
Hivi hii ilikuwa kila shule eeeh!! Disco unaenda ila unakua tu kifuatacho itv ni kuwekwa kikao na kuombewa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu tulikuwa tunatumia vindoo vidogo vile vya sabuni za unga [VISADO" au makopo yale ya peanut butter tulikuwa tunayaita "BANGALA"....

Yaani ukimaliza uji hapo vipindi vyote vinavyofuata hapo baada ya breaktime ni usingizi wa kufa mtu aisee....
Aiseee usingizi wake balaa,makande,wali tupo sita kila mtu na kisado chake halaf unasingizia kuwa tupo wawili na mgonjwa basi kinajazwa ,,mkifika bwenini mnaanza na kimoja kimoja vinavyobaki tunafungia kwenye locker tunakula wali na maharage asubuhi ,

Tulijishika urafiki na viranja wa chakula weee siku ya nyama ilikuwa alhamiss tulikuwa tunakula nyamaa jamani na ugali sembe
 
Kuna wale watoto wa baba kuja na V8 anapack bwenini. Hapa kuna rafiki yangu anaitwa Ojare, rafiki yangu Rejao anamfahamu
Halafu kuna wale wapenda usingizi, hata siku ya Mtihani wanachelewa
 
Back
Top Bottom