Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Hapana aisee,sio kweli kabisa.
Hiki kichaka itabidi tukifyeke mpambane kimpango wenu.
Kwahiyo mnakariri sio ?Wababa wengi wanakuaga na sura za mababu zao.
Na hata hili wanalalamikiaga kina mama wa humu
Mkuu Kuwa na akili sio lazima ufike pale jalalani. Ndio maana wengine hakajakanyaga darasa hata moja lakini wako sharp sana kwenye kutatua changamoto za maisha.Mimi kwangu Ni kinyume.
Nimeishia la 3 c
Wewe upoje Zurri!?Kwahiyo mnakariri sio ?
Sasa hao mababu si walikuwa baba ?
Haya nashukuruMkuu Kuwa na akili sio lazima ufike pale jalalani. Ndio maana wengine hakajakanyaga darasa hata moja lakini wako sharp sana kwenye kutatua changamoto za maisha.
Akijibu nitag dadaNani huyo aliyekuficha
How was your day my lady..?Akijibu nitag dada
Was bit fine, missing you badly my King...How was your day my lady..?
Thank you!Round about ya kijenge unaipata, pale impala..sasa cocoriko unanyooka kama unaenda Moshono sio mbali sana kutokea pale
Nifate nikuonyeshe.Wewe upoje Zurri!?
Tuoneshe picha basi
Thanks to hear from your side, my side was good my princess, ila ndo hivyo sijaacha kufikiri kuhusu wewe, hivyo siku yako inapokuwa poa, nashukuru Mungu kwa kupigania kile ninachothamini.Was bit fine, missing you badly my King...
How's was yours?!
Jamani jamanii....Thanks to hear from your side, my side was good my princess, ila ndo hivyo sijaacha kufikiri kuhusu wewe, hivyo siku yako inapokuwa poa, nashukuru Mungu kwa kupigania kile ninachothamini.
Amen...hivi baada ya last departure, haukutoka mlimani tena.Jamani jamanii....
Kama siku yako ilikuwa poa namtukuza Mungu kwa hilo!!
Nilitoka milimani my King..Amen...hivi baada ya last departure, haukutoka mlimani tena.
NionyesheNifate nikuonyeshe.
There possibility my dictionary ina lack some vocabulary my queen, can you find conducive place to clarify the last word for me plz, kama hautojari..!Nilitoka milimani my King..
Niko maeneo ya kujidai, Kuringe
Astaghafirulilah wallah...Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k
Vichwa vitasomeka hivi.
1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini
2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).
3. 7800 yazua kizaa zaa.
4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)
5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)
Ongeza vichwa vya habari.